MP wa Shinyanga mjini hana raha

Chanya

Senior Member
Mar 2, 2011
133
22
Katika kile kinachoonekana kama laana ya kuchakachua kura moja mbunge wa Shinyanga mjini CCM Steven Masele hafurahii uheshimiwa wake katika jimbo lake, huku wananchi wakionekana kumdharau Masele, ameshaitisha mikutano zaidi ya mitano na wahudhuriaji wanaweza kukaa katika darasa moja, huku aliyechakachuliwa Shelembi wa CDM akiendelea na kesi mahakama ya H mkazi Shinyanga.
 
Katika kile kinachoonekana kama laana ya kuchakachua kura moja mbunge wa shy mjini CCM Steven Masele hafurahii uheshimiwa wake katika jimbo lake huku wananchi wakionekana kumdharau masele ameshaitisha mikutano zaidi ya mitano na wahudhuriaji wanaweza kukaa katika darasa moja huku aliyechakachuliwa Shelembi wa CDM akiendelea na kesi mahakama ya H.mkazi shy

nafsi yake inamsuta.mwaka huu wanalo.
 
Atakuwaje na raha wakati ni mwizi!! Tangu lini uliona mwizi anakuwa na amani!! Mpumbavu sana huyo kijana. Angekuwa na busara asingekubali kuwa mbuge eti kwa ushindi wa kura moja, maajabu ya Dunia hayo!!
 
Huyu jamaa akipita hapa seif hotel au nyakahara watu hawashituki bt muuza kuku we2 shilembi anapendwa hasa maaneo ya stand
 
Kuwa na raha kwa binadamu mwingine unakupima vipi??? kwa attention anayopewa na watu? satisfaction ya mtu haitokani na attention,bali malengo aliokuwa nayo akigombea.....baadhi ya wabunge kukubalika its none of their business,mafao na marupurupu ya ubunge is what matters....na kwa mbunge aliyetangazwa mshindi kwa difference ya kura moja sioni kwanini akose raha.....!
 
Kula tano. Hujambo lakini?
 
jamani mbona kijana hafananii hizi habari?
tusubiri miaka 5 badae
 
Back
Top Bottom