Mozilla Firefox

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
huwa situmii IE , lakini naona Mozilla imedelete bookmarks zangu zote

kuna mtu anajua namna ya kuretrieve hizo bookmarkS?
 
Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,552
0
ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks

route path inagoma hata kama nikishaselect
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,929
1,500
ebwana tayari kumbe nimezipata ziko kwenye C drive sasa kazi iliyobaki ni kuzimport toka C kwenda kwenye bookmarks

route path inagoma hata kama nikishaselect

..uki-install upya firefox itaziweka hizo bookmarks yenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom