MSAADA Insta “ADS ACCOUNT BASED IN RUSSIA” Nashindwa Ku-Lipia Matangazo

kakamgeni

JF-Expert Member
Feb 1, 2018
241
201
Heshima Zenu Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Hamjambo Na Mnaendelea Vizuri Na Majukumu Ya Kulisongesha Mbele Gurudumu.

Bila Kupoteza Muda Nimekuja Kwenu Nikiomba Mtu Anayefahamu Namna Ya Ku-Solve Hili Tatizo Kwani Imenitokea Leo

Jana Linitumia VPN Moja Inayoitwa VPN, Logo Yake Ni Blue Alafu Maandishi Yake Ni Meupe, Nimejitaidi Ku-Google Na Kucheki Youtube Lakini Sijafanikiwa

Nitashukuru Nikipatiwa Walau Muongozo Wa Namna Ya Kutatua Hili Jambo

NAWASILISHA
IMG_1019.jpg
 
Russia wapo kifungoni..Mitandao mingi wamefungiwa naona ulitumia server ya Russia kwenye VPN..Sijajua huo ni mtandao gani wa Kijamii ila inabidi uzime VPN kabisaa au tumia VPN ambazo unaweza kuchagua server kisha chagua nchi kama UK,US na Canada ambazo hazina longolongo....
 
Nimefuta VPN Zote Bado Bilabila
 
Content
Nimefuta VPN Zote Bado Bilabila
Content ya post yako haina chochote kinachohusu Russia?? Au Ukraine??Pengine labda wakati unapandisha Post Kwenye Timeline server yako ilikua ya Urusi..Apo sasa labda ufute post upost upyaa
 
Back
Top Bottom