Moyo wangu unauma sana

Sawa asante
 
Mimi kwasasa nilipofikia sihitaji hiyo ml.4 iludi ila nataka niwafanyie kitu kibaya roho yangu ipoe
 
Mimi kwasasa nilipofikia sihitaji hiyo ml.4 iludi ila nataka niwafanyie kitu kibaya roho yangu ipoe
Upe muda wakati, vumilia kaza moyo 4M sio hela ikataka muda si mrefu wakishaishiwa ndio utaingia ulingoni sasa


Ukishindwa kusamehe lipa kisasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu
 
Kuna mganga nimepata kasema tununue mbuzi wa4 kwaajili Yao kila mmoja mbuzi wawili
[emoji23] Anakudanganya huyo, anajua nguvu yao? Gharama nzima hapo haitapungua 500k! Mbona inatosha kabisa kufanya direct revange? Kuna watu mbona hiyo ni kubwa sana na matokeo ni halisi?
Sorry kwa kukufundisha jambo baya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana kwa kutapeliwa ....Nakushauri samehe tuu jip e muda utakuja kuyasahau yote hayo

Cha msingi uwe umejifunza kupitia hili usije kumuamini mtu yeyote katika maisha haya

Inuka anza upya kupambana ...Mungu ni mwema atajazia palipo pungua
 
Pole sana inaumiza sana jaribu kutafuta njia nyingine na usihusishe Familia zao pambana na hao waliokutapeli.
 
Uko kama Mimi bro Kuna mtu nilimwachia Biashara aisimamie nilienda kumuuguza mtu huko almost kama miezi 6 hivi kurudi hasara ya Zaid ya milioni 6 afu kakimbia baada ya kusikia narudi nilichofanya nilienda kwanza kwenye maombi niombwe roho ya uvumilivu maana
 
nilikuambia utatapeliwa si muda na thread zako za ajabu ajab
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…