Pamoja na kwamba umekataa ushauri lakini nakuomba sana usome huu wangu
Kwa hali uliyonayo sasa tayari wewe ni fursa kwa wapigaji na watu wasio na roho ya utu!
USIDANGANYIKE!!! huku hutapata waganga wa kukusaidia shida yako! UTAISHIA kupigwa na kuumizwa zaidi
Aliyekutapeli anayo cash ya kuweza kununua hata ng'ombe mzima wa kafara ili asidhurike na mashambulizi yako ya kimwili (kisheria,kidunia) na kiroho (uchawi)
Wewe hapo sana sana utaishia kuambiwa upeleke kuku ama mbuzi na ukapewa masharti magumu yasiyotekelezeka ili ushindwe!
Kuambiwa tanguliza laki ya vifaa ni jambo la kawaida sana
Tulia kwanza upe muda wakati utapata suluhu nzuri..ACHANA NA WAGANGA WA KIENYEJI..! WATAKUPIGA!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app