Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,933
kuna uzi alileta anataka mtu amsaidie sijui aongee na marehemu😆😆..ndo hapo nikasema kumbe wajinga bado wanaexisistYaani mtu akudhulumu na wewe ujifungie ndani na kusali? Hata Mungu hatasikiliza sala zako. Anyways, mwanzisha thread anaonekana naye ni walewal tu kwani ametapeliwa halafu anataka kutafuta mtu wa kumtapeli zaidi.