Moyo wangu unauma sana

Moyo wangu unauma sana

Duuuh , hatari ila tuache masihara , kutapeliwa kunaumaa aisee
Uyo ajakutana na wauni, kuna jamAA aliwah nitapel simu rafiki yangu kipindi iko tach ndo zinaingia mi niikuwa na nokia fulani kali inabattn na touch mtaa mzima nd nilikuwa nayo yule jamaa akaniazima apige akala kona, nikawafuata wauni wangu nikawapa malalamiko oya tulikua tag kama mtu kumi tunamtafuta yule jamaa pita maskani zake zote tukaacha ujumbe mbona ilirudi ile simu chap u
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Samehe na umuachilie moyoni mwako kwa manufaa yako binafsi hasa kiafya.

Iache gadhabu ya Mungu itamshughulikia.
 
Wakifa utapata faida gani? Fikiri Mara mbili kabla hujafanya Hilo azimio lako...ni Mara kumi umfanyizie akiwa mbele za watu ni full kujamba Kama nyegere
 
Kama mapenzi ni uchawi umeniendea ngende eeeh nenda ngende huko lindi japo matepeli wapo au kwa wakurya kuna mdau hapo juu kashauri.
Ngende huko ni noma sema Sasa matapeli watamuwahi. Yaani ykishuka tu Liwale watu wakiona sura ngeni akili Yao inaeatuma kuwa unaenda ngende Kwa bibi
 
Bora na wewe umethibitisha maneno yangu. Shida ni pale mhitaji akiwa na roho nyepesi matokeo yakianza kuonekana, maan kuna dawa zao nyingine ni hatari hadi taifa linaweza kupigwa butwaa. Ipo ile mlengwa akishaanza kutangulia ahera sasa kila ndugu atakae kuja msibani hapo anamlilia marehemu lazima na yeye afie hapo hapo muda huo huo. Kwa hiyo ndugu wasiposhutuka mapema ndugu watapukutika siku hiyo km kuku wa kideli. Sasa huyu akiambiwa matokeo km hayo ataweza kuvumilia au ataweza kuwaonea huruma.

Tusiwachukulie watu poa. Kuna mikoa ni silent kila Ila haifahamiki.
Ujaluoni sehemu gani chief, nipe location mengine nitamaliza mwenyewe
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Hata usihangaike kupoteza hela kwenda kwa waganga tena mkuu, kuna kitu inaitwa KARMA it's matter of time anarudi kwako analia kwa kusaga meno hakika hakuna rangi hataacha kuona
 
Mkuu!! Usiombe uliyemuamini
Ukampa kitu flani
Afu akaja enda tofauti na makubaliano
Inakata balaaa
Upo sahihi kabisa, nakubali hilo.

Ila ukikaa na hasira kifuani muda mrefu huku bado unakumbuka alichokufanyia utaishi maisha ya mateso mno, utakuwa umempa nafasi ya kukutesa.

Ila ukiweza kusamehe na kuendelea na maisha utakuwa umejifungulia milango mingine mizuri na hapo utairuhusu 'karma' iwalipe haki zenu nyote.
 
Back
Top Bottom