Moyo wangu unauma sana

Moyo wangu unauma sana

Hata usihangaike kupoteza hela kwenda kwa waganga tena mkuu, kuna kitu inaitwa KARMA it's matter of time anarudi kwako analia kwa kusaga meno hakika hakuna rangi hataacha kuona
Huu ni ukweli. Hizo pesa hazitamfikisha popote sana sana anaenda kuhonga na kula bata tu
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Walivyokua wanakuimbia wimbo wa TAJIRI ulikua unajisikiaje walikua wanakwambia HUNA ADUI ulikua unajisikiaje wanakusifia HAAUNA MBAMBAMBA eti UKIFA HAUOZI kweli na wewe bichwa hilo unatoa tu 4M

Mganga atataka ili aifanye kazi vizuri basi umkabidhi 3M na Ng'ombe ndama dume aliezaliwa akiwa ametanguliza makende utaweza kumpata?
 
Ujaluoni sehemu gani chief, nipe location mengine nitamaliza mwenyewe
Sogea hapo rorya mkuu wamejaa tele au ingia kenya kabisa wana ule utaalumu wao wa kuwatuma nyuki wanakuletea mharifu wako safi kabisa yaani namaanisha nyuki wadudu hawa mafundi asali wanamtimba mwana kama furushi hivi mbona anakuja kanyooka kabisa mpaka kwako we ndo utaamua sasa usamehe au kazi ya mateso iendelee
 
Walivyokua wanakuimbia wimbo wa TAJIRI ulikua unajisikiaje walikua wanakwambia HUNA ADUI ulikua unajisikiaje wanakusifia HAAUNA MBAMBAMBA eti UKIFA HAUOZI kweli na wewe bichwa hilo unatoa tu 4M

Mganga atataka ili aifanye kazi vizuri basi umkabidhi 3M na Ng'ombe ndama dume aliezaliwa akiwa ametanguliza makende utaweza kumpata?
Hahaha
 
Upo sahihi kabisa, nakubali hilo.

Ila ukikaa na hasira kifuani muda mrefu huku bado unakumbuka alichokufanyia utaishi maisha ya mateso mno, utakuwa umempa nafasi ya kukutesa.

Ila ukiweza kusamehe na kuendelea na maisha utakuwa umejifungulia milango mingine mizuri na hapo utairuhusu 'karma' iwalipe haki zenu nyote.
Ushawahi kopesha mtu unayemwamini kisha asikulipe kama kubaliano aliloweka wakati anakuja kukopa? Halafu iwe pesa ambayo huwezi samehe kirahisi!!
Usiombe yakukute
Afu muda huo nawe uko broke 😂

Umejibu vyema.. hao wanaobebana vifuani watajijua wenyewe na mabalaa yao.
 
Pole sn ndugu, wengi tunapitia changamoto hizo. Ila nikwambie tu kuna wataalam hapa Tz watu hawawajui, wao wanajua watu wa sumbawanga, Tanga, Zanzibar (Pemba), na kigoma lakini nakuhakikishia mkoa wa Mara ni balaa, kuna kabila moja la wajaluo, hao ni hatari na nusu. Km humu kuna watu wanaowafaham vizuri watathibitisha haya nayokwambia. Ukimpata huyo hutajuta ni hatari na nusu. Km una ndugu yako anaishi huko mueleze atakusaidia. Anyway, jarb kutafuta. Ningekupa connection lakini.......
Sawa mkuu
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Kaka achana nae. Mimi nilishatapeliwa mara mbili lakini niliamua kuachana na masuala ya urafiki...niliamua kuendelea na maisha yangu. Cha ajabu hao rafiki zangu walianza kujiongelesha kwa watu. Kuwa jamaa anaroho ngumu sana. Ilifikia hatua kuna mmoja alimpigia wife kuwa dah jamaa naomba anisamehe..nitamlipa tu...hapo anaongea hivyo ni miaka kama miwili imepita.

Kwa ubaya wao, watajiumiza wao...achana na visasi ...utafanya kisasi utaanza kuumia Tena wewe....
Mimi nilipigwa millioni Tano cash. Ila Hadi Leo life langu fresh tu...na hao wengine wanabaki kujiongelesha tu ..Sina time nao...urafiki unafiki tu...usimuamini mtu.... simple tu.
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Pole sana
Mungu atakulipia

Ikabidhi hiyo kesi kwa Mungu,
Muombe kwamba kama hela ni yako basi na ulipwe haraka
Chako lazima kije mikononi mwako.

Km unapenda mambo ya shortcut tafuta hao waganga au tumia maji ya Mwamposa.

Kama unaamini katika kupambana mwenyewe kwenye maombi basi Omba bila kuchoka.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Habar wakuu

Kila nikikaa roho yangu inaniuma sana rafiki yangu niliemuamini yeye na rafkiake wamenitapeli ml. 4 cash

Ametumia urafiki wake Kwangu kuniumiza na hatukuandikishia popote na sina Cha kufanya ila nimekuja hapa naomba mtu yoyote anayemfahamu mganga yoyote anayeweza kazi ya kuangamiza aje PM nahitaji kuwaangamiza wao na familia Yao yote moyo wangu utulie

Asanteni.

Habar wakuu Mimi sijaja hapa kuomba ushauli nimekuja hapa kuomba nilichoomba mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivo asanteni
Pamoja na kwamba umekataa ushauri lakini nakuomba sana usome huu wangu

Kwa hali uliyonayo sasa tayari wewe ni fursa kwa wapigaji na watu wasio na roho ya utu!
USIDANGANYIKE!!! huku hutapata waganga wa kukusaidia shida yako! UTAISHIA kupigwa na kuumizwa zaidi

Aliyekutapeli anayo cash ya kuweza kununua hata ng'ombe mzima wa kafara ili asidhurike na mashambulizi yako ya kimwili (kisheria,kidunia) na kiroho (uchawi)
Wewe hapo sana sana utaishia kuambiwa upeleke kuku ama mbuzi na ukapewa masharti magumu yasiyotekelezeka ili ushindwe!
Kuambiwa tanguliza laki ya vifaa ni jambo la kawaida sana

Tulia kwanza upe muda wakati utapata suluhu nzuri..ACHANA NA WAGANGA WA KIENYEJI..! WATAKUPIGA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom