Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

Kwanza namtukuza Mungu kwa aajili yako kwakua najua unamjua Mungu kwa sehem na unaijua kazi yake vizuri

~Nakukumbusha tu mithali 31 :10 inasema "mke mwema ni nani awezae kumwona?maana kima chake chapita kima cha majirani,moyo wa mumewe humwamini wala hatakosa kupata mapato."

~Maswali magumu kwangu.
~kama anakupenda kwann hana adabu kwako,anapokujibu kwa kifup hiyo ni adabu mbaya.

~km hataki kutoa muda kwako anampa nani?

~Na km anaenda shuke kwann asikueleze mapema mpaka ulipoonesha hisia za kuoa?

~Kwa huo ubusy ni lin atatamani kukaana ww ili akujue kiundani ifike mahali awe anasema hv,mf;mpnz wangu hiki anapenda na hiki hapendi.

Biblia inasema Mungu husema mara moja hata mara mbili ikiwa mtu hata sikia.Jifunze kuisikia saiuti ya Roho Mtakatifu.hapo ondoka harakaa mana ndoa sio soko kwamba jion utafunga utaondoka.

~Eti kanisani sio wote wasemao bwana bwana......na Muhuri wa Bwana ndio huu Bwana awajua walio wake.

NB;KABLA HUJAINGIA KWENYE MAHUSIANO TUMIA DAMU YA YESU,OMBA KWANZA.USIWAZE KABLA YA MUNGU UTAUMIA.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu mwambie .yan anajilemaza mwenyewe afu analalamika
 
Kweli kabisa mkuu [emoji106]
 
Pole
Kuna jambo ambalo lina kuwa gumu kueleeweka mara nyingi. Yaani hata kama husali lakinii linapokuja swala la kumtafuta mwenza, hebu mshirikishe Mungu kwenye hilo. Huwa inasaidia mnoo ingawa wengine hupuuza na matokeo yake ndo familia tunazoziona kila leo zinavunjika kama sio mmoja wao kuchepuka!!!
 
Mtumishi wa Mungu kama utapata nafasi njoo mpaka PM umalizie kunipa ushauri unaosimama kwa miguu yake. Maneno haya yamenifanya moyo wangu upoe kwa muda, hakika nimefarijika mno kuona hata huku kuna watu kama wewe mnaoweza kugusa maisha ya mtu direct. Ubarikiwe mno
 
Ahsante sana Rafiki yangu. Mungu akubariki
 
Pole, lakin umeshajichunguza mkuu uhenda unakasoro wasizo zipenda, na kama hauna shida wakati unapotaka kuingia kwenye mahusiano mshirkishe mungu, usipuuze please
 
nimefurah as if hayajanikuta,



mkuu fanya mambo yako hawa viumbe ni sayari nyingine


rudi kwenye ibada jiwekeze kwenye positive ideas,life asikuchanganye

act like a man
 
Wanaume wastarabu wanapata wanawake micharuko ya mwendokasi!

Mkuu huyo Dada kwangu binafsi ni kuwa anakupenda, kinachotokea ni kuwa we unampenda sana, mwanamke ukimuonesha mapenzi mengi mengi huwa na nyodo! Lkn sio kwamba hakupendi la hasha ni kaujinga kao flani hivi amazing!

Sasa nakupa mbinu ya kumkomesha hiyo tabia yake ....wee kuanzia Leo punguza text, simu, miadi ya kuonana, I mean akikutumia abbreviations zake like K, P we mchunie, msubirie akuanze yy na wewe mjibu short short tuu!

Ukiona mda wa wiki mbili hajabadilika au kujistukia ujue hakupendi mazima, so chomoka kasi ya Usain Bolt!...

NB. Mrejesho please
 
Una miaka mingapi vileee? Wakati mwingine umri wako pia unakufanya ushindwe kujua ufanye nini kwenye mahusiano. Huo upendo wako wa dhati mpende Mungu wako, binadamu atakudisappoint kila mara. Penda kiasi na usitake mapenzi yaende utakavyo. Acha yaende yalivyo. Kama anakuamini na wewe unamuamini, kubali awe hivyo. Kama una wasiwasi nae ni bora kujiweka kando mapema usiumie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…