Moyo wa upendo wa ULIKAMAFU na ERICK52

Tehe tehe teheeh!! Keep it up kijana...........kauliza na mtaani upo hivyo?? Mkaribishe umuonyeshe ukarimu.
Teh nishamkaribisha na wewe Katavi mbona hatuachani kwa ukarimu? au kwa kuwa ulipotea kidogo ndo maana kakukosa....
Karibu mtaani na wewe utaniona lol
 
Last edited by a moderator:
Kijana hope Katavi hajajua eeeeh
Hebu mwambie au aje yeye aone....Tena safari hii shemeji yake ndo atampokea hadi ashangae

sasa huo Erickb52 utakuwa ni upendeleo.... mie nilikuomba nikutane na shemeji faragha, kidogo unipige ngumi, huyu hata hajaomba umemkaribisha mpaka kupokelewa na shemeji!!!
 
Katavi yuko bize
anatafuta namna ya kumfanya zitto
apoteze yale madocument yaliysainiwa na wale wakuu kule mjengoni
kabla hakijala kwao.

Kijana hope Katavi hajajua eeeeh
Hebu mwambie au aje yeye aone....Tena safari hii shemeji yake ndo atampokea hadi ashangae
 
Back
Top Bottom