Moyo wa upendo wa ULIKAMAFU na ERICK52 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moyo wa upendo wa ULIKAMAFU na ERICK52

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The secretary, Apr 23, 2012.

 1. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani hawa watu nawasifu na kuwapa hongera wawe na moyo wa upendo wa kuwakaribisha wageni.sielewi kama na kwenye maisha nje ya jf wapo hivyo ila jitahidini hata mtaani kuonesha ukarimu wenu
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Asante sana Secretary....
  Binafsi niko hivyo na nawapenda sana wageni.....
  Karibu kwangu.....
   
 3. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Asante kama ni hivyo be blessed karibu China. Basi una moyo wa ukarimu kama wa pacha wangu Ma doudou
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa mi ndio pacha mkubwa lazma tuendane na tupendane....
  Ukitujumlisha wote watatu tunakuwa Ma Doudoudou
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  chezea Erickb52,
  ana moyo wa mapendo,
  watu wanajigonga,
  eti anasema huna upendo,
  mwonyeshe bana kupenda kulivyo.

   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  nini wasiwasi na upendo wa ULIMAKAFU
  kwa asili ya hilo jina
  upendo wao siyo mkubwa vinginevyo awe amenunua hilo jina,
  ngoja aje ajitetee mwenyewe.

   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hanijui mi nimekulea ktk maadili mema...
  Natimiza amri kuu
  Lol...ni malezi yako hayo mama...
  Matunda yake ndio hayo
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ulimakafu yuko anawazuia wageni fulani wamekuja na silaha eti wanataka kwenda Jukwaa la Siasa....tumewakatalia kuingia na Silaha....wagomvi kweli wale jamaa
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  kweli una upendo wa kweli,
  nafurahi kwakuwa unakumbuka
  somo la kipaimara
  'amri hii mpya nawapeni - pendaneni'
  umeifanya siku yangu ianze vizuri my son.

   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  tena alinde sana lile jukwaa la siasa
  limebeba wageni wengi sana
  jana mchana walikuwa zaidi ya elfu saba

  naenda kumtafuta kule.

   
 11. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yan akiwaacha bila ulinzi pataweza zuka vita kali sana....
  Kule ulienda kumtafuta usitie neno kwenye maongezi yao usije ukaishia huko huko maana wengi wakiendaga kule huwa hatuwaoni tena hadi baada ya wiki 3 au mwezi kabisa....
  Ile ni Stress zone...muulize Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,585
  Trophy Points: 280
  huwa naenda sana kule
  kabla ya kwenda nameza mate mara tatu ile kutuliza hasira
  na mengine nayameza kama tunavyomeza kwenye jukwaa la wakubwa,
  unapita kama huoni.

   
 13. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ukimwona kongosho mwambie aende jukwaa la doctors akapate dawa ya wale ng'ombe wake alosema wamepata DEGEDEGE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaa
  Hiyo style yako ya mate nimeipenda...
  Panatia sana hasira lazma uwe mvumilivu sana hawakawii kukupotezea moody
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaaaa
  Ng'ombe wa Maziwa ya Mgando?
   
 16. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wale wamepata stress tajiri wao kawachunia msosi kwa sasa wanatoa youghurt baada ya kupewa malimao
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaaa najua Kongosho hana taarifa ngoja nikamsake aje aende JF doctor haraka
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Tehe tehe teheeh!! Keep it up kijana...........kauliza na mtaani upo hivyo?? Mkaribishe umuonyeshe ukarimu.
   
 19. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  for Erickb52 i can guarantee that hata nje ya jf.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  lakini mbona huyu mgeni hana kamba mguuni?
   
Loading...