Mamaa Africa
Member
- Mar 1, 2018
- 59
- 278
Asante japo ni ngumu kumezaPole dear,,
Mara ya pili hii umekuja kulalamika humu kuhusu ndoa yako
Ningependa kukutia Moyo,,hiyo changamoto unayopitia sio wa kwanza wewe kupita.
Piga moyo konde,,katika ndoa Kuna shida na Raha,,,Kuna milima na mabonde
Ongeza imani yako kwa Mungu,
Mungu amekuona unaweza ndo maana amekupitisha hapo mwisho utang'aa Kama dhahabu
Kwa Sasa usijibu chochote kwanza,tuliza akili yako
Maneno kwa binadamu mwenye kinywa Ni kawaida
Jifunze kunyamaza
All in all so sorry dear sisy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ma wanaume tunapenda kwer kwerCry all you need darling. Cry your heart out, ila nishamaliza promise yourself you will never shed tear over the same man again.
Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.
Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.
Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hujawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.
Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.
It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapi umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.
Asante, ni maneno marahisi kusema but maneno magumu sana kutenda hasa kama ulipenda kweli,Cry all you need darling. Cry your heart out, ila nishamaliza promise yourself you will never shed tear over the same man again.
Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.
Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.
Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hujawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.
Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.
It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapi umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.
Pole sana dada, wanaume mara nyingine tunakuwa kama vichaa na hasa tukishagundua mnatupenda halafu kwa pembeni tukawa na vi michepuko.
Kaza roho, omba sana mwenyezi Mungu akuvushe katika hili.... Lakini kwanini umpende asiekupenda wakati si baba yako wala mama yako? Ukiona umechoka achana nae fanya yako ila atakuja kukukumbuka maana sasa hivi kuna mahali kakamatwa.
Pole sana kwa mara nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Cry all you need darling. Cry your heart out, ila ukishamaliza promise yourself you will never shed tears over the same man again.
Sisi wanawake, when we love, we love for real. Na ndo maana tukiachwa huwa hatuelewi. We still believe there is a chance ya kurekebisha mambo and to try again.
Ila wenzetu wapo tofauti and especially when they meet someone new. It's easy for them to move on.
Kubali yaishe sweets. Kubali kwamba umefika mwisho and he will no longer be happy with you. Na wewe kubali kwamba hutawahi kuwa happy kuishi na mtu ambae moyo wake upo kwingine. Let him go.
Kama una watoto, focus more on them. Kama umeajiriwa weka na kamradi kengine ka kukuweka bize. You are going to be okay. Usijiulize watu watakuonaje. Wewe sio wa kwanza kuachika na sio wa mwisho.
It's just a matter of time atakuja kukugongea wanting to come back. Hapo umesha move on na kukutana na mtu anaekupenda na kukuthamini.