tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,327
Hahaha! Kwahiyo Demiss alitoa order?
Kama upo Dodoma mcheck Demiss
Kama upo Dodoma mcheck Demiss
Kagua comment zangu kwake nimeattach kituKwanza huyu atakuwa ana mke maana Ni mtu mzima, ila atapata..kila la kheri kwake!
AhahahahahahHahaha! Kwahiyo Demiss alitoa order?
Ha haaaa umeuaaaa, hana lolote huyu nakwambia labda atuambie mke kamkikimbia, hlf anashindwa nini kuopoa huko mtaani aje atafute huku. Kuna kitu hapa nakwambiaHuyo si wewe sasa ananionajeView attachment 1078839
Shida kumbwa ni uelewa unapoambiwa moyo mpweke haimaanishi uyu mtu hajawai kua na mtu yaani bikra la hasha. Bali wakati uo anaotafuta mchumba au mke ndio shida ilipo.ayo mengine ni historia.Ha haaaa umeuaaaa, hana lolote huyu nakwambia labda atuambie mke kamkikimbia, hlf anashindwa nini kuopoa huko mtaani aje atafute huku. Kuna kitu hapa nakwambia
Ahsante sana.Bebee njoo nikupatie pumziko la nafsi na hautokuwa mpweke tena.
Mke umempeleka wapi...tuanzie hapo? Au unahitaji mchepuko?Shida kumbwa ni uelewa unapoambiwa moyo mpweke haimaanishi uyu mtu hajawai kua na mtu yaani bikra la hasha. Bali wakati uo anaotafuta mchumba au mke ndio shida ilipo.ayo mengine ni historia.
Sasa hapa mbona haieleweki attach, au ndio mpango wa kunizibia ridhiki.Huyo si wewe sasa ananionajeView attachment 1078839
Huwa hata mimi najiuliza sipati majibu, kwanini wasiwe wanapitia kwanza thread za wenzao yawezekana ikawa rahisi zaidi.Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje
Huwa hata mimi najiuliza sipati majibu, kwanini wasiwe wanapitia kwanza thread za wenzao yawezekana ikawa rahisi zaidi.
Kilichoandikwa humo ndicho kilichokusudiwa.....comment si yako na umethibitisha una mke sasa unazibiwaje ridhiki jamaniSasa hapa mbona haieleweki attach, au ndio mpango wa kunizibia ridhiki.
Kuna watoto wakishaajiriwa kwa Mara ya kwanza mshahara 400000, basi ni kutesa eti nao wana pesa.