MOYO MPWEKE

MOYO MPWEKE

Ukiacha nyeto utajua namna ya kuwapata...
Cha muhim acha kujiselfie then utaona huo msukumo utakaopata automatically from inside utajikuta kila demu unamtaka na kama unastatus nzuri kiuchumi hutakua na kaz ngum kuwapata
Take this from me

Mkuu si kwamba ana tatizo tofauti na hilo kwelii?
 
Uzuri wa kujiweka hadhara ni pale unapopate aina tofauti tofauti ya watu ambao nao wana lengo kama lako

Hapo kazi yako unakuwa nyepesi tu - kutumia vizuri kipimo chako au vigezo vyako ulivyonavyo

Ila uwe lakini sana ndugu make kwenye msafara wa mamba na kenge wamo na wakati mwingine ni kenge tu

Najua hadi wakati huyu pm "mafuriko"
Ukweli sijapata PM Ata moja mkuu
 
Mungu anakuona lakin
Huyo si wewe sasa ananionaje
IMG_20190423_094923_637.JPG
 
Huwa nashangaa sana humu anajitokeza mwanamke anatafuta mchumba hakuna mwanaume anaejitokeza.. alafu muda mfupi tuu kupita anajitokeza mwanaume nae anatafuta mchumba..
Hivi kwani huwa mnakuwa mnaogopana au hamuonani au huwa inakuwaje

Wanaogopana mkuu nani amuanze mwenzie
 
Bebee njoo nikupatie pumziko la nafsi na hautokuwa mpweke tena.
 
Back
Top Bottom