Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Moyes sio kocha sahihi wa manchester

Hahaaa, wazee wa historia.
Historia pia inaonyesha man u akiwa anaongoza ligi decemba anachukua ubingwa eeehh!! Ila cha ajabu man city akachukua dk za mwisho, so historia hazina nafasi tena teh teh!
Mo-yes or Mo-no?
jipe moyo mtu wa Mungu, utashinda...........Moyes-moyo
 
Mhhhh msimu huu kazi tunayo Man u,hatujazoea maisha haya.
Ninavyoona mimi ni kwamba, hizi zote ni hila za Ferguson kuhakikisha Man U haipati kocha atakayemfunika yeye Mapema. Kulikuwa na makocha wengi tu wakubwa na wenye record nzuri lakini akampendekeza Moyes.
 
"They say that winning at Old Traffold is much difficult..yeah Even Manchester United cannot even win there"

At this speed rate of Going Down It is not very long time Manchester united will discover Crude Oil..
 
wakuu,kwangu mimi ushindi kwa man u ni kufungwa,siku ikifungwa huwa napata raha sana na nadhani mungu anasikiliza sana maombi yangu! Mfungwe tu,mlikua mnabwabwaja sana...what goes around comes around,Lol...
 
Tutarejea tu japo tunaamini mwaka huu hatuna chetu.mwaka wa shetani kung'oka meno.amavubi chikamoo.

hii inaitwa kifo cha nyani miti yote huteleza.,na sikio la kufa halisikii dawa mungu ajaalie walau tuchukue hiyo carling cup tulikosa na hilo basi mwaka huu hatuna chetu si kuingia top four wala kuwa na top goal scorer
 
Ninavyoona mimi ni kwamba, hizi zote ni hila za Ferguson kuhakikisha Man U haipati kocha atakayemfunika yeye Mapema. Kulikuwa na makocha wengi tu wakubwa na wenye record nzuri lakini akampendekeza Moyes.

it make sense.alafu kingine kama vile naona man u haina hela ya kusajili kwa gharama maana haiwezekani timu ikawa na kikosi kibovu alafu kocha akasema eti hasajili coz wachezaji anaowataka hawapatikani kipindi hiki,sasa sijui kipindi walichokuwa wanapatikana aliwasajili??? Hizi kwangu they sound like siasa and non sense excuses
 
"They say that winning at Old Traffold is much difficult..yeah Even Manchester United cannot even win there"

At this speed rate of Going Down It is not very long time Manchester united will discover Crude Oil..

Mkuu kashengo ndio unaichukia #Manchester kiasi hiki.
Ila nimependa statements zako kwa kweli kwa hii speed mtatushikia inner core hata crude oil zone tushaanza kuivuka
 
Last edited by a moderator:
Wa Ikwiriri ni waikwiriri tu! Tembo wanau awa, bidhaa zimepanda bei, umeme juu, huduma duni mahospitali, hatuna maji safi na salama, barabara mbovu and all that, wewe unaleta uzi kuhusu MOYES? AUSTRALOPITHECUS!!!!
!!!
sasa wewe ulitaka nilete uzi wa siasa hapa kwenye jukwaa la sports kuna muda wa kufuatilia siasa na kuna muda wa kufuatilia mpira by the way mpira ni kipaji,ajira inaleta furaha na kikubwa zaidi unaleta umoja.ungetaka uyafuatile yote hayo uliyoandika ungeenda jukwaa la siasa
 
Man u majanga! Mda huu dakika ya 50 kashaliwa 1 na Sandalendi!!!
 
Manchester United were once the Goliath of English football, then along came David.....
 
Manchester United were once the Goliath of English football, then along came David.....

sunderland 2- 1 manchester united"goliath"
Hali ni mbaya sana.Sasa hii inapunguza uwezo wa wachezaji kujiamini.:coffee:
 
Jana moyes kavunha historia nyingine, kafungwa mechi tatu mfululizo kwenye makombe yote ya ndani ya uingereza.,poor him and his players.
 
Mndengereko,

Naomba nijibu baadhi ya hoja/lawama ambazo umemtupia David Moyes

Cha pili yeye ameteuliwa toka mwezi wa tano mwaka jana alikuwa na na miezi mitatu ya kuweza kufanya usajili kipi kilimshinda kufanya usajili kipindi hicho cah summer time aje weze kipindi hiki cjha summetime kinachofuata??? Na kama alijua kwamba uwezekano wa kusajili January ni mdogo kwa nini hakusajili kipindi icho cha summer time.

Hii issue ya usajili wengi wanamlaumu Moyes but sidhani kama anastahili kulaumiwa,Moyes alivyopewa timu aligundua tatizo kubwa la kiungo la muda mrefu ambalo SAF alishindwa kulifanyia kazi.Wachezaji ambao Moyes alikuwa anawataka (Thiago,Fabregas,Herrera na Mondric) Ukiangalia utagundua hao ndio aina ya wachezaji ambao Man United inapaswa kuwa nao.Kumbuka ukiacha SAF pia David Gill nae aliondoka, baada ya Abromovic kumchukua Peter Kenyon(Mtaalamu wa fitina za usajili) Gill ndio alimrithi nae taratibu akawa mtaalamu kwenye usajili.Mrithi wa Gill Ed Woodward ni mtu ambae hana kabisa uzoefu na masuala ya usajili huyu ndio mtu wa kulaumiwa kwenye issue ya usajili

Cha tatu kwenye uefa man u haijafungwa hata mechi moja na mechii zoote kagawa amecheza sasa hapo haoni kwambba kagawa ana mchango na timu ya man u icheze vizuri na kutofungwa kwa nini kagawa huyohuyo asimtumie katika epl ili aweze kuiopa timu ubingwa kagawa orgnal yake ni namba 10 lakini pale inatumiwa na roone y so kwa yy ni vigumu kucheza kwa nini asimpange namba 8 naamini ataperform coz ana experience.

Moja ya sababu kubwa ya Man United kufanya vibaya msimu huu ni wachezaji wengi kucheza chini ya kiwango na Kagawa ni mmojawapo.Moyes amewapa nafasi wachezaji karibia wote,mechi ambayo Kagawa alicheza vizuri na Leverkusen the rest mechi kiwango chake still ni average.Msimu huu Kagawa hajafunga goli na hana assist hata moja ingawa unasema game alizocheza UCL timu imeshinda(Rooney ndio ameibeba timu).Ligi ya England inahitaji kasi na nguvu sana kuliko Champions League ndio maana Kagawa anaonekana anacheza vizuri kwenye UEFA kuliko kwenye ligi

Cha nne kuendelea kutumia mfumo wa ferguson mpira wa kisasa watu wanatumia middfielde na sio ule mpira wa kizamani wakutumia wings na kama unatumia wings basi wings ziwe kwenye ubora kama za Bayern(riber na robben) hivyo either ubadilishe mfumo au sajili wings zenye ubora ambayo kwa yeye hajafanya hata moja.

Moyes alivyokuja alijaribu kutumia viungo (Cleverley,Kagawa,Giggs,Felaini,) lakini viungo wamechemka ndio maana akarudi kutumia mawinga ambao at least walianza kuonyesha matumaini (Nani,Januzaj,Valencia,Young) at least wamefunga/kutengeneza magoli kuliko viungo ambao wamekuwa butu kufunga/kutengeneza magoli

Cha mwisho kutopangilia safu yake vizuri ya beki Rafael ni mzuri kucheza namba mbili lakini anapoumia anaonekana kushindwa kumtumia Fabio ambae kwangu mimi ndio ningempanga mbadala wa Rafael coz alishacheza kipindi cha ferguson na akamudu lakini pia kaceza qpr so anaexperience Fabio anajua kusahambulia na kukaba tofauti na samaliing anayemtumia mabae sio mzuri kwenye mashambaulizi ya ghafla na hashambulii vizuri kama ambavyo Fabio angefanya pia evra huyu anaonekana kuchoka nahisi imefikia time ampe nafasi buttner amwonyeshe kwamba anaweza akarithi namba ile buttner anajua sana kushambulia evra napitwa sana na saa nykngine mipira ya kizembe tu hii ni kutokana na uwezo kushukua,umri na kucheza mechi nyingi kwa hapa inambidi aangalie mbadala wake la sivyo naicost timu kwa namna moja ama nyingine.

Nakubalina na wewe kwamba Smalling ni weak link kwenye defence kinachomsaidia ni uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja but I doubt kama unafahamu kiwango cha Fabio,Fabio alitegemewa sana kuwa msaidizi na baadae mrithi wa Evra lakini kiwango chake kinazidi kuwa kibovu siku zinavyozidi kwenda.Nafikiri umemuona juzi alivyoingia,mwenzake Rafael hana mpinzani beki wa kulia kama akiwa fit

David Moyes kweli anaweza akawa kocha mbovu, moja ya weakness zake ni kufanya sub mbovu, lakini ni mapema sana kumpa mzigo wa lawama zote Man United inavyofanya vibaya.Timu nzima inahitaji reshufle kuanzia defence,midfield na foward nafikiri hii kazi ilipaswa kufanywa na SAF, wachezaji kama Anderson,Giggs,Buttner,Nani,Rio,Cleverley,Smalling,Fletcher,Fabio hawastahili kabisa kuchezea Man United kwa sasa while wachezaji kama Evra,Carick,Rooney,Vidic wanastahili kupatiwa wasaidizi,Kagawa,Felaini,Valencia nao wanapaswa kuimprove viwango vyao
 
jamani eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhh mm Man u wakifungwa huwa nafanya sherehe kubwa sana n'a ninataka isiwe big 4
 
Ferguson aliacha kikosi ambacho kilichohitaji mabadiliko makubwa sana na pamoja na kuchukua ubingwa mwaka jana wasingeweza kuhimili mikiki ya mwaka huu kutokana na sababu kadhaa ikiwemo majeruhi (Kina RVP) na wazee (Kina Giggs).

Moyes aliingia akiwa hana uhakika anataka kufanya nini haswa, alianza na kusema kuwa timu iko vizuri hamna haja ya kusajili wengine lakini alipoona mambo yanaenda ovyo akabadili msimamo. Hata ilipofika kwenye dirisha la usajili hakujipanga vizuri akaishia kufukuzia wachezaji ambao realistically asingeweza kuwapata (Fabregas etc..) akaishia kwa dogo Felaini ambaye ameishia kuwa ni disaster!
 
Mndengereko,

Naomba nijibu baadhi ya hoja/lawama ambazo umemtupia David Moyes

Hii issue ya usajili wengi wanamlaumu Moyes but sidhani kama anastahili kulaumiwa,Moyes alivyopewa timu aligundua tatizo kubwa la kiungo la muda mrefu ambalo SAF alishindwa kulifanyia kazi.Wachezaji ambao Moyes alikuwa anawataka (Thiago,Fabregas,Herrera na Mondric) Ukiangalia utagundua hao ndio aina ya wachezaji ambao Man United inapaswa kuwa nao.Kumbuka ukiacha SAF pia David Gill nae aliondoka, baada ya Abromovic kumchukua Peter Kenyon(Mtaalamu wa fitina za usajili) Gill ndio alimrithi nae taratibu akawa mtaalamu kwenye usajili.Mrithi wa Gill Ed Woodward ni mtu ambae hana kabisa uzoefu na masuala ya usajili huyu ndio mtu wa kulaumiwa kwenye issue ya usajili

Moja ya sababu kubwa ya Man United kufanya vibaya msimu huu ni wachezaji wengi kucheza chini ya kiwango na Kagawa ni mmojawapo.Moyes amewapa nafasi wachezaji karibia wote,mechi ambayo Kagawa alicheza vizuri na Leverkusen the rest mechi kiwango chake still ni average.Msimu huu Kagawa hajafunga goli na hana assist hata moja ingawa unasema game alizocheza UCL timu imeshinda(Rooney ndio ameibeba timu).Ligi ya England inahitaji kasi na nguvu sana kuliko Champions League ndio maana Kagawa anaonekana anacheza vizuri kwenye UEFA kuliko kwenye ligi

Moyes alivyokuja alijaribu kutumia viungo (Cleverley,Kagawa,Giggs,Felaini,) lakini viungo wamechemka ndio maana akarudi kutumia mawinga ambao at least walianza kuonyesha matumaini (Nani,Januzaj,Valencia,Young) at least wamefunga/kutengeneza magoli kuliko viungo ambao wamekuwa butu kufunga/kutengeneza magoli

Nakubalina na wewe kwamba Smalling ni weak link kwenye defence kinachomsaidia ni uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja but I doubt kama unafahamu kiwango cha Fabio,Fabio alitegemewa sana kuwa msaidizi na baadae mrithi wa Evra lakini kiwango chake kinazidi kuwa kibovu siku zinavyozidi kwenda.Nafikiri umemuona juzi alivyoingia,mwenzake Rafael hana mpinzani beki wa kulia kama akiwa fit

David Moyes kweli anaweza akawa kocha mbovu, moja ya weakness zake ni kufanya sub mbovu, lakini ni mapema sana kumpa mzigo wa lawama zote Man United inavyofanya vibaya.Timu nzima inahitaji reshufle kuanzia defence,midfield na foward nafikiri hii kazi ilipaswa kufanywa na SAF, wachezaji kama Anderson,Giggs,Buttner,Nani,Rio,Cleverley,Smalling,Fletcher,Fabio hawastahili kabisa kuchezea Man United kwa sasa while wachezaji kama Evra,Carick,Rooney,Vidic wanastahili kupatiwa wasaidizi,Kagawa,Felaini,Valencia nao wanapaswa kuimprove viwango vyao
nakubaliana na ww katika mambo mengi tu uliyoyasema lakini mimi bado hoja yangu kuu ni kwamba moyes sio kocha sahihi wa kuifundisha man u kulingana na hizo sababu nilizosema kwenye thread n anyyingine umefanikiwa kujibu vizuri tu,ngoja niendelee kujistify hhis weakness,kwanza katika dunia ya mpira wa sasa hivi mtu kama giggs huwezi kumpanga dk tisini tena katika mechi ambayo we real needed to win,hasa ukizingatia tumetoka kufungwa mechi mbili mfululizo na timu za kawaida,

kingine kocha mpya mara nyingi huwa anamfumo wake na aina ya uchezaji anaoutaka mooyes ndio kocha mpya pekee niliyemuona aliyekuja ttimu kubwa alafu akasajili mchezaji mmoja tena dk za mwisho tena kwa gharam akubwa awakati tungeweza kumpata kwa bei chini ya hapo ingawaje najua utamtetea kwamba ed woodward ndio wa kulaumiwa lakini na yy lawama zinamhusu kwa namna moja ama nyingine kwa sababu kama kocha lazima uwe na msisitizo na uwe na target zako ambazo inabidi uonyeshe jitihada walau tukuone sio kutaka kusajili mchezaji yupo spain alafu ww upo egland

kulingana na maelezo yako wachezaji wengi tu hawafai kuwepo man u kama ulivyowataja sasa kwa nini asiwauze na akanunua wengiine kwa kauli yake amesema kwamba mwezi huu january hasajili hapo pia utamweka edwoodward kwamba ni mhggeni au yy mwenyewe ni mzembe na kumbuka mwezi september alisema hana kikosi cha kucheza cl lakini mwezi huu pia anshindwa kusajili yupo seriouskweli huyu,

kama ulivyosema wachezaji wengi wa man u wameunderperform lakini wamepewa muda kwa nini kagawa na yy aasippewe muda wa kucheza mechi nyingi apate kuzoea epl kumbuka hata kipindi cha ferguson hakuwa anapata playtime ya kutosha,so hawezi kupata consistency kama mabavyo akina valencia, smalling pamoja na cleverleywanapata ingwaje viwango vyyao vya kawaida mno tena kuliko hata kagawa lakini wanapata playtime,kingine mtu kama carrick amechoka mr backpass inapaswa aondoke aje mwingine matokeo yake kaongezewa mkataba wa miaka miwil, kumbuka mechi na swansea carrick na cleverly kila walipokuwa wanapiga pasi ya nyuma walikuwa wanazomewa na mashabiki wa man u ot kabla ya mashabiki wa manu hawajaanza kuimba ataack ataack attackna ferdinand nae kaambiwa ataangaliwa kiwango chake mpk mwisho wa msimu ili apewe mkataba mpya ama la kwangu mimi hawa hawana nafasi carrick natimua ferdinand kiwango hana astaafu the same to giggs.akifaanya hivyo walau atakuwa serious.kinginne kama ulivyosema anakose kufanya right sub ambazo zingine zinztugharimu.
 
Back
Top Bottom