happy lady
Member
- Feb 2, 2015
- 60
- 16
Pole saana my mda mwingine mtu huoa au kuolewa na mtu ambaye c chaguo lake lkn mwisho wa cku huzoea nakupenda pia inawezekana ww ulimchagua yy awe husb to be wako lkn yy hakukuchagua cha mcngi mama omba saana kwa mungu akupe mume mwema naiman furaha yako itarejea best of lucky