Moving on after heartbreak

Moving on after heartbreak

Huwezi ukasahau bila kuumia best na pia huwezi sahau haraka kama unavyotaka..... utaumia sana best tena sana utawaza mengi .... yape muda hayo mawazo yataisha utasahau na ujishangae kama ni wewe kweli ulokuwa ukiendeshwa na mawazo....... relax
 
jipe moyo, Wakati mwingine Mungu anaruhusu mabaya yatupate sio kwa faida ya Aliyesababisha lkn ni kwa faida yetu sisi tunaodhani hatujatendewa haki.

Vumilia dada Yupo mwanaume ambaye atafuta kumbukumbu hiyo mbaya katika maisha yako rafiki. Mtegemee Mungu katika kipindi hiki yote hayo yatapita. kwa sababu tumepata uzoefu kutoka kwako tu na upande wa pili hatujui chochote mimi ni hayo tu.
 
Dah pole sana kwa yaliyokukuta,mshukuru mwenyez Mungu kwa kugundua mchezo wake kabla hamjaoana.Sasa jitahid kutokum*waza waza au kumfikiria/kumkumbuka ili uweze kumtoa kwenye mind yako kabisa.

Futa kila record mlizowah shiriki pamoja kama picha,,,futa no za sim au urafik kwenye mitandao ya kijamii.Huu ndo muda unaohitaj kuconcerntrate kwenye mambo yako kama kazi au biashara.Firstly get him out of your mind.Finally you will find the right one for you.
 
Usijali just a matter of time dear.. it was a tuition ...there is someone out there special for u keep calm and move on love,
i was once there i understand.
 
p/s you are gonna be okay. Time will heal you. In future learn not to take too seriously the affairs of the heart.
Thanx lovey, will do.[/QUOTE]

Next tyme uckimbilie kugonganisha vibamia sawaaaaa...
 
Alma mdogo wangu pole sana, najua wahusika ni sisi,,, but sio wote...coz umefunguka umetibika....forgive and forget.....mwmbie Mungu asante kwa kuniumba hivi nilivyo, asante kwakuwa najua unanipenda na ulijua tangu mwanzo........amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom