Movies gani unapendekeza nitafute

Movies gani unapendekeza nitafute

Double Jeopardy (1999)

Je mwakumbuka Beverly hills Cops 1 upto 4 Eddie Murphy
 
Duh, sijaona movie ya kibongo hata moja iliyotajwa jamani - za kina Kanumba & Co. Mbona ni nzuri sana. Majina kidogo nimeyasahau.
 
Duh, sijaona movie ya kibongo hata moja iliyotajwa jamani - za kina Kanumba & Co. Mbona ni nzuri sana. Majina kidogo nimeyasahau.

Movie za Kanumba zimetajwa kwenye post ya pili au ya tatu.
Lakini huwezi jua, wanatabia ya kuiga majina ya Kizungu hivyo unaweza kukuta movie ya Kanumba (mwenyewe anajiita The Great) au yule Ray (aka the Greatest) inaitwa Shawshank Redemption!!

I have no idea what they are great, greater or greatest at!!

Some more movies:

Mary Poppins
Sound of Music
Brave Heart
The King and I
Anna and the King
Robin Hood

BTW, what do you guys think of movies directed by Quentin Tarantino? I usually cannot make head or tail of his movies
 
Face/ Off- Nicolauss Cage
[ame="http://www.amazon.com/gp/product/B0013527HU?ie=UTF8&tag=bewegeri-20&linkCode=as2&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B0013527HU"]National Treasure [Blu-ray][/ame]
ir
N.cage

[ame="http://www.amazon.com/gp/product/B000068IET?ie=UTF8&tag=bewegeri-20&linkCode=as2&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B000068IET"]Vampire's Kiss[/ame]
ir
N.cage

[ame="http://www.amazon.com/gp/product/B00020HAX8?ie=UTF8&tag=bewegeri-20&linkCode=as2&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B00020HAX8"]Kiss of Death[/ame]
ir
N.cage

Double Impact..***mtu wa kazi
Bourne Identity...Doug Liman
My Best Friend Wedding.Julia Roberts

Mississippi Masala D - washington

Mbaya zaidi napenda movie za ma-vimpire

1.Blood and Donuts (1995)
2.Love at First Bite (1979)
3.Underworld: Evolution (2006)
4.Dracula 2000 (2000)
Nigeria
1.River of Tears
 
Face off
Man on fire
Blood diamonds.............
 
scent of a woman-al pacino

Taken -liam neeson

not without my daughter-sally field
 
Nsyuka, Mzuka, penzi langu nk LOL!!!!!!!!!!!

Ukiwa nje ya tanzania utazipaateje hizi?

Hii ni Challenge kwa wasaani na ni opprtunity kwa wataalamu wa IT bongo kuunazisha web za kuuza kazi za wasanii through download.
 
Mhhhhhhhh mi napendekeza hizi:

1.Taken
2.The International
3.The Recruit
4.The Departed
5.Traitor
6.Ocean's 11,12 na 13
7.Bourne Series i.e Bourne Identity,Bourne Supremacy na Bourne Ultimatum
8.Armored
9.Trade
10.Border Town

 
nime gugo naona nyota au ndo hii ghost ship? anyway babuji atasaidi

thanks

Itakuwa ni Ghost Ship bana,hakuna movie inayoitwa Ghost Sheep..Labda za akina Kanumba zenye majina ya Kiingereza na Kiswahili
 
Mhhhhhhhh mi napendekeza hizi:

1.Taken
2.The International
3.The Recruit
4.The Departed
5.Traitor
6.Ocean's 11,12 na 13
7.Bourne Series i.e Bourne Identity,Bourne Supremacy na Bourne Ultimatum
8.Armored
9.Trade
10.Border Town


Barantanda kwa hiyo orodha yako hapo juu nimegundua wewe unapenda movie za ditecive...

Hiyo Taken hata mimi niliikubali sana na nilimpa credit zooote Mzee Liam...

Hata hiyo the international pia nayo imesimama na Clive pia kaitendea haki.

Ktk Traitor nawakumbuka mahujaji wawili yaani Sameer na Naseer.
Ila mwisho wa siku Don Chedle aliwamwaga.

Kuhusiana na Ocean na hizo Bourne series naziheshimu mwanzo mwisho.

Armored nzuri ila aliniboa kamanda Sucre ama Sukari alipojitupa kwenye gorofa.
Ila movie imesimama haswa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom