1.The Transporter-1&2 sijui kacheza nani
haya mambo ya kuangalizia Video kwa Jirani nayo ni tatizo..
Live Free or Die Hard
The dark Knight
Bad Boys🙂
Terminator
Salute Mkuu.Ni kweli dada,Transporter film series nazo ni nzuri mnooo...Hizi zimechezwa na Jason Statham(Frank Martin) na Francois Berleand(Inspector Tarconi),hawa wamecheza movie zote tatu i.e Transporter 1,2 na 3...Ya tatu pia yumo Robert Knepper(Theodore 'T Bag' Bagwell wa kwenye Prison Break) ambaye ndo kacheza kama 'kubwa la maadui' hahaaaaa,movie nzuri sana hizi....Namkubali sana Statham hasa alivocheza The Italian Job na akina Mark Wahlberg,Charlize Theron,Edward Norton,Mos Def,Seth Green na mzee mzima Donald Sutherland.....Jamaa pia kafanya mambo kwenye movie nyingine yaitwa The Bank Job,hii nayo ni mtoto wa kuotea mbali
Salute Mkuu.
I have seen all these movies, they are real good. Kuna movie yake jamaa ya Crank, hope umeiona nayo ni kali.
huwa nampenda sana jamaa...its an old one lakini iko poa "boat trip na huyu jamaa cuba gooding jnr"
1. The exorcist ya 70s
2. Omen
3. House of wax
4. Wrong turn
5. The wicker man
6. The last house on the left
7. Dark country
8. The stepfather
kumbe wewe ni mtu wa movies...
Sikujua
The hard way, tallon of the eaggle, american ninja 1&2
airforce 1,special force
sasa mtazamaji umependekeza ili tuzitizam; ni kweli ? ni kuwa tutazitizama vipi hapa JF au kununua CD au kivipi kwa kweli kuna movie hiyo ya GASPER ni special kwa watoto lakini naipenda sana nakumbuka niliiona TVZ zamani sana nilijaribu kuitafuta lakini sijawahi kuipata. na ziko nyingi ambazo zimetajwa humu lakini nyingi unakuta kuzipa ni shida kidogo hata kwenye maduka. je tutazionaje kwa choice ya mtu.Wadau
Kila mtu ana ladha yake ya movie l,akini itakuwa vizuri tukitajiana majina ya movie nzuri tulizowai kuona na kupendekeza tuzitzame.
Ni vema tusifuate kigezo cha mwaka bali kigezo cha uzuri wa movie.
Naanza bila kufuata priority movie nzuri nilizowai kutazama ni
- The Orphan
- Unfaithful
- Eyes Wide Shut
- The dreamers
- Fatal Attraction
- Training Day
- The Ugly truth
- The Note Book
- The Apartment hii ni ya 1969 lakini ni movie nzuri sana
- Leon the proffessional
- 500 of summer
sasa mtazamaji umependekeza ili tuzitizam; ni kweli ? ni kuwa tutazitizama vipi hapa JF au kununua CD au kivipi kwa kweli kuna movie hiyo ya GASPER ni special kwa watoto lakini naipenda sana nakumbuka niliiona TVZ zamani sana nilijaribu kuitafuta lakini sijawahi kuipata. na ziko nyingi ambazo zimetajwa humu lakini nyingi unakuta kuzipa ni shida kidogo hata kwenye maduka. je tutazionaje kwa choice ya mtu.