wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
Mi kuna movie flan naisaka ya kitambo washikaji wawili wamepata deal ramani ya kwenda kufukua rupia Kwenye kaburi ila mwisho wa siku mmoja anakengeuka anamsaliti mwenzake ili apate peke yake hizo rupia lakini hana ramani ila mwenye ramani hajui njia ila anayejua njia hana ramani anayejua njia akamtoroka asiyejua njia lakini ana ramani ya kaburi lenye rupiah ila wakakutana makaburini ni movie ya ki cow boy ila jinale limenipotea