Habar wadau !!! Jana usiku nilipata wasaha kuchek hii movie old guard aisee km ni swala la movie nasema sema wazungu wametuacha mbali sn kuanzia story ilivyotungwa camera actions na hata maongez ktk movie.
Nimechek kwa mqkin hii movie iko poa na ina story moja nzur sn japo nilikasirika hawakutupa jibu why they are immortal and when the immortal end movie inaonesha last scene andy lost her immortality na haikjulikana why
Sasa apa swali langu ni moja kuna any true story behind this