donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
, aisee kwa subtitles my fav ni subscene.com, movies huwa nashusha kwenye mp4mania, kama hapa niko namcheck ethan hunt anovyohangaika na nuclear cores kwenye falloutSimu mkuu..... ndio bwana niki naughurumia maumivu ya ile hammer ya thor... hizi weapons za kutoka azgard sijui wana weka nini