Movie Reviews

"E="Malcom Lumumba, post: 28259874, member: 94736"]Hella ???
Aisee hivi WICK unamfahamu LEGION ???
The MOST Powerful Mutant, Jean Grey arudi nyuma..
[/QUOTE]
Simjui huyo hivi kumbe Jean Grey ana mbabe wake maana yule Dark Phoenix si mchezo!.."
 
inakuweje star mmoja anatumika kucheza sehem zote mbili Marvel Na DC mfano Lyan Reynold Marvel anacheza Deadpool Na DC anacheza Green Lantern
 
Wick Malcom Lumumba mmeiangalia hii series inaitwa Intelligence? its about Doomsday waepon iliyobuniwa Na Nazis 1939 Na USA wakaiendeleza Na kuita Manhattan project ndani take kina project inaitwa Clockwork ambapo anachukuluwa special force anapandikizwa microchip yenye setelite,wi-fi, computer etc anaweza kuona tukio lililopita ilvyokua. akiangalia sula yako tu basis anapata details zako zoooote
 
inakuweje star mmoja anatumika kucheza sehem zote mbili Marvel Na DC mfano Lyan Reynold Marvel anacheza Deadpool Na DC anacheza Green Lantern
Ipo siku utaiona MCU vs DCU Crossover Batman anavyomuogopa Captain America/ anavyomuonea Iron man.
But kwa sasa sidhani kuna uwezekano star mmoja kucheza kote na ndio maana ukaona Ryan kajiua kwenye Deadpool 2 (inasemekana Tom cruise anaenda kuwa Green Lantern mpya akikubali).
Hivi unajua Thanos na Cable kaigiza mtu mmoja - Josh Brolin. Au Dr. Strange na Dormammu - Benedict Cumberbatch!.
 
Ila Cumberbatch kuwa Smeagol ndiyo uliniacha nachekaaa.
The Precious...
 
Ipo siku utaiona MCU vs DCU Crossover Batman anavyomuogopa Captain America/ anavyomuonea Iron man.
But kwa sasa sidhani kuna uwezekano star mmoja kucheza kote na ndio maana ukaona Ryan kajiua kwenye Deadpool 2 (inasemekana Tom cruise anaenda kuwa Green Lantern mpya akikubali).
Hivi unajua Thanos na Cable kaigiza mtu mmoja - Josh Brolin. Au Dr. Strange na Dormammu - Benedict Cumberbatch!.
Yes IPO siku itatokea iwe hivo hafu sio kwamba inaasemekana Ila ndo ivo Tom kachukua nafasi ya Ryan kwenye G.Lantern.
Yaaap nililijua kabla hill kua Thanos ndie Cable. hua natabia ya kuangalia review ya muvi Na behind the scene
 
Habar wana wa jf.
Hivi karibuni nimejikuta nakua mpenzi sana wa movie has a zile zilizochanganya sehemu mbali mbali za dunia, Kwa mfano unaeza ukakuta movie baadhi ya sehemu imechezwa amerika na baadhi ya sini imechezwa afrika na wa Afrika wakiwa weshiriki. Kwa mfano kama captain Phillips baadhi ya scene zimechezwa somalia na baadhi zimechezwa amerika, pia na ile movie ya staway ya wale vijana wakiafrika wanavyozamia meli ili waende marekani.
Ombi langu kama kuna muvi yeyote ya aina kama izo naomba unipe jina nikaitafute. Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom