Movie Reviews

kidebwaytz

Member
Joined
Dec 15, 2016
Messages
6
Points
95

kidebwaytz

Member
Joined Dec 15, 2016
6 95
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni.

Tuanze na Hangover 2.
Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona critics wengi wameiponda, binafsi sijaiona bado kwa hiyo siwezi kutoa reviews mpaka nitakapoiona ila nitaweka baadhi ya comments kutoka Rotten Tomatoes wale mlioiona mnaweza kuchangia zaidi.

I can't believe how precisely everything does happen again, except that what was fresh and surprising in Las Vegas turns rancid and predictable in Bangkok, where yet another wedding is scheduled to take place. Joe Morgenstern Wall Street Journal
Full Review

One of the most uninspired and unoriginal sequels you'll ever see. Or not see, if you're lucky. Richard Roeper
Richard Roeper.com
Full Review

The Hangover Part II - Rotten Tomatoes
AUDIO:Nandy-Bado:Download Mp3 - KideBwayMnyamaTz
 

Ngumbaru

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Messages
320
Points
500

Ngumbaru

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2018
320 500
Joker ni super villain, hana zile abilities za super heroes, but ana ile influential power ya ku convince crimes, na he had a very bad story when he was young.
Huyu nae mzungumzia ni joker wa kweny batman.
"Why so serious?"
Ahahaaah!
Hadi leo batman the dark knight ni moja kati ya movies ninazozirudia kuziangalia,na hii ni kwasababu ya Joker.
Nilisikitika sana nilivyosikia jamaa amefariki,sidhani kama kuna muigizaji anaweza ziba pengo lake,kwasababu huyu Joker wa kwenye suicide squad hajanikosha kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,390,296
Members 528,165
Posts 34,048,793
Top