Movie Reviews

Simu mkuu..... ndio bwana niki naughurumia maumivu ya ile hammer ya thor... hizi weapons za kutoka azgard sijui wana weka nini
, aisee kwa subtitles my fav ni subscene.com, movies huwa nashusha kwenye mp4mania, kama hapa niko namcheck ethan hunt anovyohangaika na nuclear cores kwenye fallout
 
Kwaio muv nachukua mp4mania alf subtitles kweny subscene

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
. Unaona kama hapo kitu cha skyscraper
Screenshot_2018-09-15-23-53-04.jpg
 
Wazee kwann tusianzishe kikundi cha WhatsApp, kwa ajili ya mambo kama aya, na tukawa pamoja sana, hii sort ya entertainment itufanye kuwa wakaribu.
 
Jason statham, iki kiumbe kinakuja na movie moja ambayo bado naisubiria kwa hamu, movie ina husu papa mkubwa kuwai kutokea ulimwenguni, The MeG.
Jamaa this time ajaja na racing issues kaja na kitu cha Ocean
 
Nineona trailer lake ila design kama sijaielewa flan hivo, naona haina tofauti na jaws au Ile ya hale berry sijui inaitwaje vile
 
Design ya Jaws ofcoz but hiki kitu kipo more renovated, it's like its real, kwasababu Shark aliewekwa mule ni shark ambae ni kubwa kuliko sharks wa movie zote ulizoziona zinazohusu sharks, more interesting, shark Ka bite bullet proof mirror, na kuacha marks za meno.
Despite movie ipo na rates za wastan rotten tomatoes but, ipo extremely interesting
 
Nimeidaunloo, ngoja nikimaliza kucheck hotel transylvania 3: summer vacation. By the way nkionaga ratings za rotten tomatoes na imdb ziko chini, nakosa morali yakushusha kitu
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom