Movie Reviews

jamn mwenye kujua wapi ni sehem ambayo haizingui ku downlod movie
naomba anisaidie link

Sina hakika unamaana gani unaposema kuzingua mkuu

Kama unatumia simu jaribu

https://www.fzmovies.net/movieseries.php?movieseries=Madagascar kwa movies kuanzia mb 100+ hadi mb 800


Kwa series, episode inaanzia mb 80+ hadi 200

Matangazo hayakwepeki hapo jiandae na kero ya matangazo tu
 
Wakuu kuna movie flani hivi

Watu wanakua na muda ambao watatumia kuishi kwenye mwili wao na unaonekana, pia unaweza kumwibia mwenzako muda wake.

Biashara kubwa ni ya muda, na watu wanauza muda wao ili wanunue vingine etc
 
Wakuu samahn jina la huy msanii
steven_sandhu_64_90.jpg
 
Kwa wadau wa Movie, kuna movie yupo 2pac na mzungu flani hivi wameact kama mapolisi walipata soo la kukamata madawa na kuwaua jamaa waliokua nayo kesi wakampa jamaa mmoja hivi chizi fresh... kwa anaeijua jina naomba msaada niweze kuitafuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom