Movie Reviews

30 Sept 2020

Full Movie Miles in the Life: The Story of a BMF Drug Trafficker


Using the cover of an Atlanta limousine driver to traffic large quantities of cocaine across the country for the then largest African American drug organization in the southeast known as Black Mafia Family, often referred to as BMF. Narrated by Legendary actor Clifton Powell Written & Directed by @Filmmaker_shaunmathis Filmed & Edited by @j.toulon Produced by @LaconicTV Starring: Wesley Roberts, Jabari Hayes, Tiffani-MiShelle Johnson & Ty Henderson
Source : LaconicTV
 
Kuna muvi naomba mnisaidie niya south africa ni comedy kuna kipande jamaa aliingiza kichwa sehemu ya haja kubwa ya Tembo
 
na sio tembo,, ni faru
Eeeh waaaah io io bhn naomb jina lake
Are you talking about Mr Bones?
If the answer is yes basi jamaa aliingiza mkono kwa tembo.
91799e23ae7b44261ea66ba1d09fef3f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hii ya kusikitisha/ kuhuzunisha ila kuhusu kuweza kukuliza sina hakika- ni ya kituruki kwa tafsiri isiyo rasmi "Miracle in the Cell No. 7 celda"
Hii kweli roho ngumu ngumu kama sisi ndo huoni choz ila niliangalia na mtu ikamshinda kuimaliza
 
Wazee naombeni list ya movie za mablack za kinyama ...kazi kama deuces,cut throat ,au true to the game ivi...
 
Katika maisha yangu huwa nadhani moja ya vitu ninavyopenda ktk ulimwengu wa entertainment upande wa movies n series ni kuangalia zenye maadhi ya kusikitisha na si kusikitisha tu kikawaida ila napenda kuangalia movie/series initoe machozi kweli kweli.

Napenda movie/series za namna hii maana zina mafunzo mengi sana ndani yake ambayo si ya kuigiza ila unaona kbsa hii movie/series akili ilitumika ktk utungaji wa story na ktk story hizo huwa naondokaga na mafunzo makubwa sana ya maisha.

Kwa sasa naangalia drama moja ya korea inaitwa BAD THIEF,GOOD THIEF naenda mwishoni sasa ila kusema ukweli hii movie imeniliza zaidi ya mara 5 yani unaangalia movie inafika mahali unaweka pause kidogo Unalia weeee then ukimaliza unarudi unaendelea iangalia.

sitamani kukosa movie ya kuangalia baada ya hii kuisha naomba yeyote anaejua series/movie yenye mahadhi ya namna hii anisaidie kunipa Jina tu la hiyo movie,namba isiwe movie yenye mabunduki mabunduki.

NOTE: iwe inaliza kweli kweli,sio niishie kusikitika tu na kuwaonea huruma,movie flani ambayo ukiiangalia unaishia tu kushusha machozi na kutafakari maisha yalivyo,binadamu walivyo,nk vitu vya namna hiyo.

Asanteni kwa wote mtakaochukua muda wenu ku comment jina la movie,naweza nisikushukuru kwenye comment ila naomba yeyote ataechuka muda wake kunitajia tu aina hiyo ya movie nimpe Asante na Mungu alie juu akubariki.
Mkuu tupe japo hata kijimuhstasari cha hiyo series...Maana wengine vichwa ngumu kuelewa movie mpaka tuhadithiwe

Sent from my HUAWEI CUN-L01 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom