Movie gani kali! OSAMA ama AMBILIKILE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Movie gani kali! OSAMA ama AMBILIKILE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, May 5, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna hizi movies zinaendelea! Osama iliyotoka juzi na ya Ambilikile! Ipi itakaa sokoni zaidi?
   
 2. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatizo theme tofauti moja ni drama na moja ni action
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kweli lakini ipi unafikiri itakaa sokoni muda mrefu zaidi
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mkuu habari za masiku?? Kama vile uliwahi kuaga? Umerudi kimya kimya mkuu hata hodi hubishi?
  BACK TO THE TOPIK: Ambilikile bado ipo sokoni ila haiuzi sana kama zamani. Osama ndo imeingizwa sokoni, tuipe muda then tuone kama itampiku Ambilikile.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aisee Eeka Mangi acha mzaha bana!, hapa nina abiria 5 wa Samunge namuuzia jamaa nilambe kamisheni! Usimvuruge babu yetu bana, wengine tumefaidika mno nae..huh!
  Osama mwache aende salama!
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tatizo la osama ni kukimbilia loliondo kwa babu kupata kikombe... ndipo wamarekani wakajua anapoishi
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Zote zilikuwa na script kali, ila director wa ile ya Osama amechemka mapema, actors ovyo na muvi imekosa uhalisia. Ambilikile bonge la muvi, mpaka sasa mauzo yanakaribia Double Platinum...
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bana nilirudi na hodi nilipiga bana kwa sread ile niliyoaga nayo mkuu. Nimemaliza kile kibarua nlichopewa.
   
 9. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaaaaaa mku umeniacha hoi. Si unajua tunaanza muvi part 2. Yaani Ambilikile anahamia kule walikozikwa wafu. Imagine hiyo movie itakuwaje?
   
 10. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  PJ nataka kujua tu ipi kali maana naona kama hii ya Ambilikile imebamba ile mbaya. Imekaa sokoni hii. Ila ya huyu jamaa yaani juzi ma-dish yalikuwa mazito kufungua channels lakini leo movie linaanza kuchuja! Ama ilikuwa ya kichina nini?
   
 11. A

  AridityIndex Senior Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye soko la kimataifa ya Osama iko juu ila soko la Ndani ya TZ ya Ambilikile ni unbeatable mkuu. Ila nimeshukuru mkoani kwetu tumepata vikombe vya kwetu wawwww
  Ilikuwa taabu sana kusafiri kutoka kusini hadi Loliondo aaaah!!! why? mapori tunayo na watu wanalala kwa nini nasi tusioteshwe ndoto bana?. Hawatatuona tena huko Loliondoingawa albamu itaendelea kuwa juu.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Karibu sana. Ila mimi sikusikia ulvyogonga mlango. Nitakucheki bdae tugawane mafao ya kibarua!...lol.
   
 13. m

  muraweto Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  movie zote uzushi tu
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Karbu bana mafao yako
   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Ya babu ilipewa promo kubwa na chama cha magamba ika uza sana laki ilikuwa ni mauzo ya ndani zaidi na ya Osama kwa siku moja mauzo yamevunja records ya kimataifa! Hivyo binafsi ipo juu ya Osama kwakuwa mapromotor ni wengi na wakongwe wa propaganda duniani! Big up Jay Carney!!
   
 16. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  MOD please ondoa hii thread haina maana yeyote. JF ni mahali pa great thinkers, sasa hi CRAP ya kumlinganisha huyu babu na Osama inatokea wapi. Author amekosa topic ya maana
   
 17. L

  Leornado JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kali ni Ambilikile manake kila siku season inaendelea tofauti na Osama ambaye abari yake kwishney.

  Mcheki Babu Ambi hapa chini, unaweza usimtambue alivyopigwa soap soapna vodacom... kweli pesa ni kila kitu. Babu kawa dili usipime.

  [​IMG]
   
 18. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Babu ananyoa saloon gani? Nataka kuongezea babu style kwenye menyu ya saloon yangu
   
 19. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Babu kauza jamani, japo anachujachuja kidogo nowdays lakini faida amepata......

  Imagine juzi kafikisha kugawa kikombe cha 300,000 x Tshs. 500 (bila VAT) = Tshs. 150,000,000/= net.

  Hebu in siriazi tok, how can TRA angalia mtu anafanya biashara iliyomuingizia 150 M ndani ya miezi sita bila kulipa kodi? halafu mimi na kamshahara kangu ka elfu themanini wananikata pai as u en (pay as you earn)?

  Lol Babuuuuuuuuuuuuuuuu
   
Loading...