Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Kuna hizi movies zinaendelea! Osama iliyotoka juzi na ya Ambilikile! Ipi itakaa sokoni zaidi?
Kweli lakini ipi unafikiri itakaa sokoni muda mrefu zaidiTatizo theme tofauti moja ni drama na moja ni action
mkuu habari za masiku?? Kama vile uliwahi kuaga? Umerudi kimya kimya mkuu hata hodi hubishi?Kuna hizi movies zinaendelea! Osama iliyotoka juzi na ya Ambilikile! Ipi itakaa sokoni zaidi?
Aisee Eeka Mangi acha mzaha bana!, hapa nina abiria 5 wa Samunge namuuzia jamaa nilambe kamisheni! Usimvuruge babu yetu bana, wengine tumefaidika mno nae..huh!Kuna hizi movies zinaendelea! Osama iliyotoka juzi na ya Ambilikile! Ipi itakaa sokoni zaidi?
mkuu habari za masiku?? Kama vile uliwahi kuaga? Umerudi kimya kimya mkuu hata hodi hubishi?
BACK TO THE TOPIK: Ambilikile bado ipo sokoni ila haiuzi sana kama zamani. Osama ndo imeingizwa sokoni, tuipe muda then tuone kama itampiku Ambilikile.
tatizo la osama ni kukimbilia loliondo kwa babu kupata kikombe... ndipo wamarekani wakajua anapoishi
Aisee Eeka Mangi acha mzaha bana!, hapa nina abiria 5 wa Samunge namuuzia jamaa nilambe kamisheni! Usimvuruge babu yetu bana, wengine tumefaidika mno nae..huh!
Osama mwache aende salama!
Karibu sana. Ila mimi sikusikia ulvyogonga mlango. Nitakucheki bdae tugawane mafao ya kibarua!...lol.Bana nilirudi na hodi nilipiga bana kwa sread ile niliyoaga nayo mkuu. Nimemaliza kile kibarua nlichopewa.
Karbu bana mafao yakoKaribu sana. Ila mimi sikusikia ulvyogonga mlango. Nitakucheki bdae tugawane mafao ya kibarua!...lol.