Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Kama ulicheki part 1 basi muendelezo wake nini kitajiri humo [emoji95][emoji95][emoji95]

Ngoja nitulie nayo weekend ipo kwenye store teyari na zingine hizi list ya mwaka huu

A quiet place 2
Rurion kenshin final( yamoto sana kutoka japan )
Ice road
Infinite
Fatherhood
Swordman

List kubwa nitaleta nyingine nikiwa na free [emoji41][emoji41][emoji41]

Download kupitia netnaija movie.

Screenshot_20210628-133832_Opera%20Mini.jpg
FB_IMG_16242985113552459.jpg
 
Hua naipita kwenye Netflix siangalii. Subiri niiweke kwenye watching list yangu
 
Kama uliiona mwaka Jana, maana yake uliona part one na hii ni part two
Yani I'm sure niliiona zote mbili.
Maana Kuna moja inaisha madude yanawavamia halafu jamaa mke alikuwa Na Mimba akajifungua...madudu yalikuwa hayapend redio na nyingine walianza kuuana binadamu wao Kwa wao Na iliisha vizuri...ila zote niliziona last year...au ndo deja vu,Mandela effect
 
Inabidi ufanye uitafute hii uione, maana ata ueleze vipi hakuna mtu atakuelewa, hii movie ni mpya na imetoka mwezi huu wa saba sasa we ukisema ushaiona mwaka Jana haimake sense
 
Inabidi ufanye uitafute hii uione, maana ata ueleze vipi hakuna mtu atakuelewa, hii movie ni mpya na imetoka mwezi huu wa saba sasa we ukisema ushaiona mwaka Jana haimake sense
Au basictuseme zilitoa movie mbili Zenye maudhui yaleyale.
Maana hii movie wallahi nilishaziona mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom