Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Hapa bado hamjui muvi kali,kwanza mna tv lakini?
au mnaangalizia kwenye laptop?
maana utamu wa muvi kali uwe na tv kuanzia inch 55 kwenda juu...

Wengine ni watanzania wa kawaida sio kila mtu ana uwezo wa kuafford hiyo QLED tv, unakoendea utasema sasa kila movie kali ikaangaliwe century cinemax[emoji28]
 
Me mwnyw nmemshangaa movie kali wanaangalia Kwny cinemax cc wengine uwezo wet computer
 
Hapa bado hamjui muvi kali,kwanza mna tv lakini?
au mnaangalizia kwenye laptop?
maana utamu wa muvi kali uwe na tv kuanzia inch 55 kwenda juu...
nina tv bapa kubwa ila movie zote nachek kwa pc laptop tamu nyie[emoji39]
 
nina bapa na movie zangu zote naangalia kwa laptop [emoji39][emoji39] pc tamu sana
 
Yes PC is the best...unaangalia Kwa Kila Pozi....unalala unaipindisha,unaiweka kifuani,mapajani,upside down Yani Ni wewe Tu Na viiafoni vyako
 
Awajui hawa Basi utamu ni utamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom