Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Movie: A Quiet Place 2, ni nzuri sana

Twende technical achana Na hype Za media.
A quiet place umemzidi Nini the silence?
Hivi ni kweli unataka battle hata kwenye hili

Production ya SILENCE
Ni bovu story ipo ovyo imepoa Sana

Tafadhali karudi A QUIET PLACE PLACE PLEASE
 
Huyu Citizen B anafananisha the silence na quite place yaan sungura na duma nan mkali kwa speed hahahhahha quite place 2 ndo movie iliyoongoza kwa mauzo mpaka sasa mwaka huu afu bonge la mwendelezo mzee
 
Yani I'm sure niliiona zote mbili.
Maana Kuna moja inaisha madude yanawavamia halafu jamaa mke alikuwa Na Mimba akajifungua...madudu yalikuwa hayapend redio na nyingine walianza kuuana binadamu wao Kwa wao Na iliisha vizuri...ila zote niliziona last year...au ndo deja vu,Mandela effect

izo ni movie mbili tofauti silence na quiet
 
Sijaona Netflix bado.

Nimeishia kuangalia fear Street 1 mpk 3 nzuri pia
 
Kama ulicheki part 1 basi muendelezo wake nini kitajiri humo [emoji95][emoji95][emoji95]

Ngoja nitulie nayo weekend ipo kwenye store teyari na zingine hizi list ya mwaka huu

A quiet place 2
Rurion kenshin final( yamoto sana kutoka japan )
Ice road
Infinite
Fatherhood
Swordman

List kubwa nitaleta nyingine nikiwa na free [emoji41][emoji41][emoji41]

Download kupitia netnaija movie.

View attachment 1834327View attachment 1834340
picha wameiharibu iyo hamna kitu
 
Nenda kacheki hizo Movie then lete mrejesho

Huyu dogo kaanza kuangalia movie juzi juzi afahamu chochote kuhusu movie
nmeziona A quiet place 1/2 ni movie nzuri,story nzuri & production & waigizaji safi
Ina matukio yenye uhalisia hasa kwa maisha ya Africa( tukiachana na content ya movie ule msoto ndo wetu huku) pia inafikirisha kwamba kumbe uhai ndio kila kitu maana kuna mahala yule binti akipita mtu katupa briefcase na hight heels safi kabisa, nyumba nk lakini havikua na maana kama hakuna guarantee ya maisha.. Kwakweli nimejifunza kitu!

The silence nimeangalia ma trailer tu sijaipenda.
Nataka kuangalia Army of the Dead
 
Pata nafasi nyingine check Movie moja inaitwa "Against the sun"

Movie nzuri survival movie
 
anyway movie ni nzuri kuangalia, wamejitahidi ubunifu ni wa kawaida can't compare to part 1 yake au movie kama bird box.
Djimon(black man mwishoni) anakufa simple sana, inshort sipendi uzembe wa vile kwenye movie yoyote ile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom