Movement for Change yaingia Simanjiro....!! Ole Sendeka ahahaaa...!!

its a time for change, its either they change or allow change to change them
 
Ukombozi umeanzia kaskazini, kanda ya ziwa, kidogo MBY+IRG, hatimaye utamalizikia LINDI+MTWARA+ZANZIBAR,etc...Peopleeeees.....poooooweeeeerrrrrr

ZANZIBAR sio lazima maana wanataka kujitenga wawe na nchi yao, hahaaa wakati umeme tunawapa bure!
 
Kwa style hii ya Ole Millya... Ole Sendeka ajiandae kuachia jimbo kwani 2015 si mbali.
 
Polisi waamue wafanye chochote haina shida! Mkuki haupigwi kwenzi!
 

mi naona ni visasi vya siasa tu hasa baada ya ile kesi yao
 
sisi vijana tupotayari kwa lolote sasa,makamanda tupo nyuma yenu na sila nzito na hasira kali.mabadilko lazima kabla ya 2015 lazima kieleweke tu.peoples poweeeeeeeeeeeer.
 

Mkuu Pdidy umenena hapo kwenye red. Waache kushabikia kitu ambacho hakiwasaidii. Wanatakiwa waangalie nani yuko serious katika kutumia rasilimali za nchi kwa faida ya wote na sio kwa faida yake na ukoo wake.
 
Napenda sana Ole Sendeka apigwe chini 2015 kwani ni munafiki sana kamanda Millya jimbo hilo ni lako ebu andaa mazingira mazuri.
 
M4C ni kama Tsunami, itavunjavunja ngome zote za magamba.
 
CDM nikama nzige usiombe wavamie shamba lako utajuta kuwa mkulima.m4c ni noma
Mkuu umenichekesha sina mbavu. Hakika M4C ni nouma. Nadhani this time round hata wakitumia aero application ya insecticide lazima nzige waache shamba completely diverststed beyond repair.
 
yaaaap! hapo hapo! na watajuta safari hii! watatumia polic n.k lakini hawataweza!!! peopleeeeeeeeees poweeeeeeeeer!

Nimefanya utafiti wa kuongea na askari polisi kadhaa jijini Dar na baadhi ya mikoani, karibu polisi wote nilioongea nao wanaonyesha wazi walivyochoshwa na mfumo wa serikali ya nchi hii na mfumo mbaya wa utendaji wao. Ningeweza kuweka hapa baadhi ya majina yao, lakini kwa sababu ya usalama na kulinda kibarua chao, ni vema kuyasitiri. Polisi wengi wanasema wayafanyayo ni kwa sababu ya mfumo wa kazi yao ya kutekeleza agizo la juu bila ubishi huo ndio mfumo wa kazi yao, ingwa moyoni wako mbali kabisa na maagizo ya wakuu wao.
 

hao polisi wako waambie wakwende zao huko, yani wanaua ndugu zetu halafu wanasemaje? moyoni wako mbali na maagizo ya wakubwa wao? styupidi kabisa.
 
'' CCM sasa kwisha kabisa '' Wenye chama hawapo wote waliopo sasa wanajifanya TU! wana jitia wanatumia sana misemo ya waasisi waliopita kumbe hawana lolote. "M4C" imewadia.
 
Sendeka kapandwa na presure nasikia anakikao cha ndani na wasira,lusinde wakaokoe jahazi simanjiro.

Hata angekuwa na kikao na Obama CCM kwishneyyyyy.
Hata Landanai kwake kabisa hatapata kitu!
Wananchi wamechoshwa.....

Nasikia Naberere, km kama 50 kuelekea makao makuu ya wilaya ya Simanjiro wanaungwanna wamesha pandisha pendera ya Chadema
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…