PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
 
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI
Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
 
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI
Sasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?
 
Sasa waislam mtatibiwa na kusoma wapi?
Kwani tukienda kutibiwa hospital za kanisa tunatibiwa bure?

Waendeshe hospital zao kwa fedha wanazokusanya wenyewe kwa waumini wao na hela ya wateja wanaopenda kutibiwa.

Sio pesa ya umma alaf huku wanajitekenya haki?

Kama ni haki basi na sisi tulipwe hiyo hela ya miaka 32 kutokea 1992 alafu tuanze sawa.
 
Hamna jambo ambalo State power inashindwa kufanya hapa Africa usijipe matumaini ya bure....kama raia zaida ya 1000 wanauliwa na kila kitu kinakua normal sembusa kufuta usajili wa TEC.

Waifute MoU

Waachie masheikh wote waliowafunga Jela (Mamia)

Serikali ilete mahakama ya kadhi

Halafu cha ajabu mambo mabaya ya kuwaweka ndani masheikh, kusaini MoU Vimefanywa wakati wa rais waislamu.

Sijui kwa nini masheikh wetu hawaibani serikali yenye mamlaka ya kuwapa masilahi na badala yake wanakomaa na maaskofu
 
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).

Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.

Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.

KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge

Basi MOU inayohusu:

mishahara ya walimu/wauguzi,

uendeshaji wa hospitali/shule za dini,

matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge

SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.

NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI

Nyinyi mnazo Shule na hospital nchi nzima? Maana najua mna Chuo kikuu kimoja tu Morogoro....Wakivunja hiyo MOU wagonjwa na wanafunzi wote nchi nzima mtaenda kuwafundishia na kuwatibia hapo Morogoro?
 
Waifute MoU

Waachie masheikh wote waliowafunga Jela (Mamia)

Serikali ilete mahakama ya kadhi

Halafu cha ajabu mambo mabaya ya kuwaweka ndani masheikh, kusaini MoU Vimefanywa wakati wa rais waislamu.

Sijui kwa nini masheikh wetu hawaibani serikali yenye mamlaka ya kuwapa masilahi na badala yake wanakomaa na maaskofu
huwez ukainana serikali wakati unaendekeza njaa,
waislamu wameuwawa mo29 lakini viongozi wao hata pole hakuna yaani! dah hatari
 
Back
Top Bottom