ebana kaka mkubwa simu zinazokua zimefungwa na hao Verizon huwa ni kesi kuzifungua or kuflash mpaka uwachek wenyewe wakupe Unlock zao' na hapo lazima $ zitahusika. Pole mkubwa!jamani wana Jf nina motorola droid pro XT610 nililetewa toka usa sasa ina lock zao nimepeleka kariakoo kwa mafundi imeshindikana mwenye utaalamu anisaidie nifanyeje model yake ni 353635040948354
Nashukuru mr. Ngoma nitaufanyia kazi ushauri wako then nitakujuza
Unaweza kuaccess menu ya hiyo cm? Kama unaweza ni pm nikupe maelekezo jinsi jinsi ya kufanya.