Samahani ndugu zangu wakristo kama nitakuwa nawakosea, lakini naamini muko na shida somewhere. Kuna kipindi Haji Manara alisema yanga wote vichwani hamna kitu ukiacha mzee kikwete na baba yake Sande Manara. Me nadhani kwa kiwango kikubwa wakristo nao kama akili zao haziko sawa hivi(sio wote).
Achilia mbali yale wanayofanyiwa kanisani Kama kunyweshwa jiki, wanawake kuvuliwa nguo, kuigiza kuwaona malaika, kuigiza kutoa mapemo na maigizo mengine (infact siwezi nikalizungumzia Hilo kwa sababu hiyo ni imani yao)
Nimegundua baadhi yenu mna chuki kubwa sana mioyoni mwenu. Fanya suryey humuhumu jamiiforums utagundua hawa watu sio poa, alafu utasikia dini yetu ni ya upendo na amani nawakani wamehifadhi chuki kubwa katika nyoyo zao, UNAFIKI.
Ikitokea labda mtu kabaka au kalawiti, Kama huyo mtu ana jina tu la kiislamu basi utasikia ostadhi/sheikh kabaka/kalawiti hata Kama ni mlevi na yupo mbali na sifa za uislamu. Ni Kama uislamu unatafutiwa makosa hivi.
Hivi ni kweli wakristo hawafanyi hayo matukio? Angalia makasisi wanavyonajisi watoto kila siku, mbona sisi hatusemi kuwa hayo ni ukristo? Ni udhaifu tu wa mtu.
Siku zote waislamu ni reactive tu, ndio hiko hivyo. Hatuanzishagi ugomvi bali tunareact tu. Angalia hata kwenye hi post tunajibu matusi yao na fuatilia threads nyingi humu jf, lakini always sisi ndio tunaoneka wakorofi.
Utasikia eti waislamu magaidi, kitu ambacho ni propaganda zilizotengenezwa na wazungu. Ni ujinga wa kutofuatilia tu. Haya makundi yanayojiita ya kiislamu yanafanya mambo kinyume na uislamu. Yaani sisi tunasema haya makundi yako kinyume na mafundisho ya dini ila nyinyi mnapinga na kusema ni mafundisho ya uislamu. Ni ajabu kuwa mnafahamu uislamu kuliko waislamu wenyewe.
Ngoja niwape somo kidogo, haya makundi yameanzishwa kwa lengo maalumu, ni wahuni tu wenye masilahi yao ya kidunia na wanapata faida kubwa kwa kutumia mgongo wa uislamu. Hata Marekani na nchi nyengine za magharibu wanafaidika na makundi haya. Jiulize vifaa vya kivita wananunua wapi? Magari na vitu vingine? Jiulize kwa teknolojia aliyokuwa nayo nchi kama Marekani wanashindwa kuangamiza vikundi hivyo? Actually it is an overnight process. Nchi Kama Russia wanatumia nguvu nyingi kuishambulia Ukraine, kwanini isiekekeze nguvu zake kuangamiza ugaidi.
Wanaoathirika na huu ugaidi ni waislamu zaidi, angalia Somalia, iraq, Afghanistan na kwengineko.
Kama nature ya uislamu ni kuuana, then angalia nchi yetu Tanzania, kwani hakuna waislamu, mbona tunaishi vizuri, Tena tumewapangisha Hadi na nyumba nanyi mmetupangisha nyumba zenu, hizi chuki zinatoka wapi, haya matusi yanini.