Moto wa G55 utaiua CHADEMA? Moto wa Peter Msigwa tuliyeambiwa anahamia CCM na CHADEMA ya Iringa yote na CHADEMA kufa kabisa uliishia wapi?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,612
Reaction score
9,269
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?

Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?

Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA yuko wapi aisee..?

Huyu sababu kubwa ya kumtoa CHADEMA alisema tatizo ni udikteta wa FREEMAN MBOWE...

Sasa umezuka mwingine tena. Ni moto wa mabua wa G55. Hawa wanasema, tatizo ni Tundu Lissu dikteta, hawasikilizi...

Hivi moto huu nao unadhani unakwenda kuzimikia wapi wandugu...?

Hizi pesa za aliyeinunua CHAUMA, akawapa hawa wachuuzi wa kisiasa na wahamiaji wagawane zina madhara kiasi gani kwa CHADEMA hata eti ife..?

Magufuli na mapesa yote ya serikali na majeshi yote alinyoosha mikono juu na kuishia kufa yeye. Hawa pimbi wataweza kuua mpango wa Mungu aliye hai kweli..?

Hawa visorokoto wa G55 huku nyuma yao tunajua yuko Freeman Aikael Mbowe chini ya bwana zao (fulani) wawili au watatu ndani ya CCM & serikali wezi wa fedha za umma na kuzitumia kufadhili ujambazi huu wa kisiasa dhidi ya uhai na utu wa watu wataweza..??

Eti shetani anaweza kupigana na Mungu aliye hai, au siyo...?

Bila shaka anaweza kujaribu kupigana, lakini kamwe hawezi kushinda...!!!

Hivi ni nani ataamua huu "ugomvi wa mgawo wa maslahi" ambao kwa vyovyote vile unakuja na tutaushuhudia live bila chenga ..?

Hakika, huu ugomvi kati ya CCM na hawa wakuja kugombea majimbo ya ubunge utakuwa ni patashika nguo kuchanika...!
 
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?

Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?

Huu moto wa mabua wa G55 utaishia wapi? Hizi pesa za kupewa ili wagawane ili kuiua CHADEMA zitawafikisha wapi aisee? Hivi nani ataamua ugomvi wao..?
Hili ni jembe hatari sana
 
Attachments

  • IMG_4156.jpeg
    IMG_4156.jpeg
    142 KB · Views: 14
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?

Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?

Huu moto wa mabua wa G55 utaishia wapi? Hizi pesa za kupewa ili wagawane ili kuiua CHADEMA zitawafikisha wapi aisee? Hivi nani ataamua ugomvi wao..?
Sana sana inaimarika tu!
 
Mwanxoni makara alimzungusha sana musigwa kuinanga chadma lakini walivyogundua hana sera kwa sasa wameamua kumdump,makara anapambana
 
Nani anaweza kujibu swali hili kwa ufasaha..?

Hivi mnaukumbuka moto wa Peter Msigwa aliyekuwa anapata promo ya CCM huku wakijiapiza kuwa wanaenda kuiua CHADEMA kwa kuondoka kwake..?

Huyu Peter Msigwa aliyevurumka kutoka CHADEMA kama moto wa kifuu tukadhani sasa anakwenda kuiunguza CHADEMA yuko wapi aisee..?

Huyu sababu kubwa ya kumtoa CHADEMA alisema tatizo ni udikteta wa FREEMAN MBOWE...

Sasa umezuka mwingine tena. Ni moto wa mabua wa G55. Hawa wanasema, tatizo ni Tundu Lissu dikteta, hawasikilizi...

Hivi moto huu nao unadhani unakwenda kuzimikia wapi wandugu...?

Hizi pesa za tu anakwenda kukinunua chama na zingine kuwapa wahamiaji hawa wagawane ili kuiua CHADEMA zitawafikisha wapi aisee?

Hivi ni nani ataamua huu "ugomvi wa mgawo wa maslahi" ambao kwa vyovyote vile unakuja na tutaushuhudia live bila chenga ..?
Hawa watashangaa watakapozomewa na wananchi.
 
Back
Top Bottom