Unawashwa wwNchini kwetu Pana Nabii Mkubwa sana, Mungu amemleta, Nabii huyo ni mkuu ni njia na funguo kusaidia watu wa Ili wasiangamie.
nabii ambaye bila bando huwezi ona wala kusikia unabii wake!Nchini kwetu Pana Nabii Mkubwa sana, Mungu amemleta, Nabii huyo ni mkuu ni njia na funguo kusaidia watu wa Ili wasiangamie.
Nabii anaingiajeSalaam, Shalom.
Tukiwa Bado tunatafakari kuteketea Kwa mji mzima nchini Chile, na habari hiyo imehujumiwa Kwa kiasi kikubwa kutowafikia watu, wahusika wakiwa na sababu zao.
Wakati huo huo tukiendelea na uzimaji moto, bar ya kitambaa cheupe jijini Dar Salaam,
Ni siku ya nne sasa imeripotiwa kuzuka Kwa moto mkubwa katika jengo refu nchini China. Moto huo umezuka katika jengo refu katika ghorofa ya 42, Hadi sasa hakuna majeruhi waliopatikana, jengo Hilo linahusika na mawasiliano nchini humo.
Nchini kwetu Pana Nabii Mkubwa sana, Mungu amemleta, Nabii huyo ni mkuu ni njia na funguo kusaidia watu wa Ili wasiangamie.
Msisitizo unaendelea kutolewa Kwa wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo.
Mungu Si mwanadamu aseme uongo.
Source: TODAY online channel.
Amen,
Karibuni π.
Thubutu π€£Wewe mpumbavu acha upotoshaji. Mwambie huyo nabii wako atabiri kuhusu umeme, sukari na bundles.
Mpumbavu huyo bwegeManabii wanayachoma?
Dini imekua janga la utapeli kuliko kitu kingineWewe mpumbavu acha upotoshaji. Mwambie huyo nabii wako atabiri kuhusu umeme, sukari na bundles.
KWanza nabii gani anashindwa kutahiri hata muda wake wa kwenda kukata gogoWewe mpumbavu acha upotoshaji. Mwambie huyo nabii wako atabiri kuhusu umeme, sukari na bundles.
Upuuzi mtupuSalaam, Shalom.
Tukiwa Bado tunatafakari kuteketea Kwa mji mzima nchini Chile, na habari hiyo imehujumiwa Kwa kiasi kikubwa kutowafikia watu, wahusika wakiwa na sababu zao.
Wakati huo huo tukiendelea na uzimaji moto, bar ya kitambaa cheupe jijini Dar Salaam,
Ni siku ya nne sasa imeripotiwa kuzuka Kwa moto mkubwa katika jengo refu nchini China. Moto huo umezuka katika jengo refu katika ghorofa ya 42, Hadi sasa hakuna majeruhi waliopatikana, jengo Hilo linahusika na mawasiliano nchini humo.
Nchini kwetu Pana Nabii Mkubwa sana, Mungu amemleta, Nabii huyo ni mkuu ni njia na funguo kusaidia watu wa Ili wasiangamie.
Msisitizo unaendelea kutolewa Kwa wakazi wa Bandari salama kuhama mji huo.
Mungu Si mwanadamu aseme uongo.
Source: TODAY online channel.
Amen,
Karibuni π.
UNYAKUO TV, Nabii Boniface Victor.Ata nabii nuhu mlimkataa hivi hivi tuambie jina la nabii tuje chapu??
Ndo wewe?? Waonee huruma wakina mama zetu ndugu yangu,washatapeliwa sana usiwapngezee maumivu mengineUNYAKUO TV, Nabii Boniface Victor.