Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

Hayo Mambo ya ajabu nchi nyingi zinafanya, lakini watajibaraguza na kujifanya kumheshimu sana marehemu, watampa tuzo za kutosha, na kumpamba kwenye magazeti, familia yake wataienzi, lakini kumbe ndio wahusika wakubwa.

Umewahi kusikia viongozi marekani wakimkejeli rais Kennedy, sasa hii mijamaa ni mitusi tuuuu.
 
Mtandao ulileta shida sana na muasisi wake mnuka damu wa "kwa babu" kule. 1995 walipokataliwa yeye na boys2 men wake wakaandaa mpango wa 2005.

Katikati hapa wakambaini mbaya "wao" lazima akae, kabla ya 2000 mzee "mbaya wao" chali. 2005 wakapeta "kiulaiini".

2010+ katikati hapa wakabanwa mbavu, wakabaini " mbaya wao" wa pili, lupaso iko wapi hii hapa. Wakajua imeisha, na kweli wabaya wao 2 hawapo wote na ndo imewanufaisha mtandao.

Uzuri unakuja, mtandao unaelkea mwisho japo ulituchosha sana, mbinu ni zile zile na zote zinawaondoa wenye busara na sahivi wamebaki wenye mvi vichwani ..akina nanilii...

..Makamba yao yametutesa sana
 
Back
Top Bottom