Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

Whatever the case wote tunajua Samia atachukua fomu 2025 na hakuna mwingine atakayepewa. Sasa Kama kina Polepole na Bashiru wanajua Hilo (Maana 2020 pia walizuia wengine kupewa fomu) why wasianzishe chama?

Kulalamika huku unajua kabisa fate Yako ni kujidanganya. At least watoke kama Lowassa waitikise CCM sio mnalialia huku mmeng'ang'ania huko ndani matokeo yake ndio kudhalilishwa kama Ile Jana.
Samia akigombea 2025.

Niite mbwa !!.
 
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani.

Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee Mkapa walifanya wakastahili kubezwa na kurushiwa vijembe after all good things they done for this nation?

Watu wameenda mbali na kubadilisha picha na sasa watu wanaangaliana red eyes kuwa hawa wazee kulikuwa na plot to assassinate plz do not quote me.

Mmmmmmmmmmmm ile kauli ya Mzee wa makatibu wema hawafi ndio imeamsha hisia Kali ndani ya chama na let pray some thing bad is near to come.

Tetesi zisizo Rasmi jamani narudia kama nabii wa Taifa nilioko nyuma ya computer...... Wanasema wanasema eti ....…........ Liwe ............ Meza ipinduliwe.........,......... Sio zam yao............... Why....................... Yaaniiiiiiiiiii hali tete..,........ Ndio maana kumbe aina fulan ya watu ........... Hawaguswi ....,...........🤐🤐🤐🪑🪑🪑😭😭😭 Jamani naomba ulinzi🤭
Kakojoe ulale. Tuko kwenye maandalizi ya kwenda kuosha macho kwanza nyuyoko wala hakuna kitu hicho.
 
giphy.gif
Majizi Yale Yana kula na kusaza kina sie ndo tunapopolewa EWE MTANZANIA PIGA CHINI CCM NI HATARI KWA USITAWI WA TANGANYIKA NA VIZAZI VYAKE
 
Viongozi wasiokufa mapema na uchumi wa nchi. Viongozi wanaokufa mapema na uchumi wa nchi!!!.
 
Samia akigombea 2025.

Niite mbwa !!.
Kwa mawazo Yako nani atamchallenge? Hivi unadhani CCM wanahitaji kiongozi imara? Unadhani kabisa watampitisha Majaliwa au Kabudi? Alafu watawezaje kuiba rasilimali?

Samia hatogombea only if upinzani utakua na mgombea imara mnoo ila sio sababu CCM wanataka kiongozi imara!!
 
TumainiEl si ndio yule jamaa aliyemtishia Ben Saanane.

Tunaomba kujua Ben mlifanya Nini!? Wewe na wenzako.
 
Imagine hao ndo wazee wa chama, alafu mtu aseme kuna democrasia ndani ya CCM mm nakataa.

Any way nimekumbuka tukiwa first year kuna RECTURER aliwai kusema tayar nishajua vijana wangu kazaa watakao faulu course yangu.

that means ni mwendo wa kupiga mstari tu wengine tukutane september.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Mungu wangu! Umesoma chuo gani?
 
We mleta uzi msichana mvulana?unaletaje habari nyeti kama hivi unaandika andika kama unaleta habari za Zuchu na Dai?aisee next time hata kama unataka kutumia code andika vizuri huu uandishi unaleta mashaka sana
 
Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani.

Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee Mkapa walifanya wakastahili kubezwa na kurushiwa vijembe after all good things they done for this nation?

Watu wameenda mbali na kubadilisha picha na sasa watu wanaangaliana red eyes kuwa hawa wazee kulikuwa na plot to assassinate plz do not quote me.

Mmmmmmmmmmmm ile kauli ya Mzee wa makatibu wema hawafi ndio imeamsha hisia Kali ndani ya chama na let pray some thing bad is near to come.

Tetesi zisizo Rasmi jamani narudia kama nabii wa Taifa nilioko nyuma ya computer...... Wanasema wanasema eti ....…........ Liwe ............ Meza ipinduliwe.........,......... Sio zam yao............... Why....................... Yaaniiiiiiiiiii hali tete..,........ Ndio maana kumbe aina fulan ya watu ........... Hawaguswi ....,...........🪑🪑🪑 Jamani naomba ulinzi
Mwenyekiti wa CCM ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania, ni mkuu wa nchi, ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Hakika utambue kuwa huko CCM hakuna yeyote anayeweza kumfanya chochote Samia. Akipenda atakushughulikia kama mwenyekiti wa chama, akipenda atakushughulikia kama amiri jeshi mkuu wa majeshi yote, au kama mkuu wa nchi.

Wanaoamua kuwa chawa siyo kwamba hawana akili bali wanajua kuwa kama wanataka kuishi na matumbo yao kwa kutegemea siasa, ni lazima waonekane kwa anayewawezesha.

Ni watu jasiri pejee, kama wale waliopo kwenye vyama halisi vya upinzani, na ambao maisha yao hayategemea teuzi au ajira ya Serikali, ndio wanaoweza kumkosoa Rais na wakawa salama, vinginevyo ni yeye Rais aamue tu kuwa muungwana.
 
Back
Top Bottom