MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,257
- 22,048
Kama masiala hivi ila ndiyo hivyo Jamiiforums inakombolewa kutoka kwa wabubujikwaji hadi kwa makamanda wa no reforms no election .
Inauma sana kaka Lucas Mwashambwa hakika dawa yako imepatikana na sasa naona unachungulia unaishia kusema Moderator sio watu wazuri kabisa
Inauma sana kaka Lucas Mwashambwa hakika dawa yako imepatikana na sasa naona unachungulia unaishia kusema Moderator sio watu wazuri kabisa