babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,903
Bilionea adnan Khashoggi.
huyo mwingine tapeli tu anayecheza karata zake vizuri.
Sitaki kuamini kuna mtu mwenye attire ya hivi halafu hakuna picha yake.Kaenda mahakamani na kahojiwa kweli picha hazipo au ni uvivu wa muandishi??Anyway the guy fixes stuff and as it looks am pretty sure zitto is already FIXED!Kama kuna mtu anao ule waraka ambao Zitto alimwanika huyu jamaa atuleteee lakini jamaa inaonekana anajua kucheza karata zake. Cha ajabu kwa nini zitto hakutokea wala hakujibu hizi tuhuma mpaka hukumu ikatolewa ya upande mmoja?
Source: The billionaire who
Sitaki kuamini kuna mtu mwenye attire ya hivi halafu hakuna picha yake.Kaenda mahakamani na kahojiwa kweli picha hazipo au ni uvivu wa muandishi??Anyway the guy fixes stuff and as it looks am pretty sure zitto is already FIXED!
.....Umemsahau Diddy Kinwani
huyu kashatoka jela?.....
.....Moise Katumbi