Moto Mabanga: The billionaire who 'fixed' Zitto Kabwe

Mleta mada

maswali yako ni mazuri lakini you are asking at the WRONG platform

wewe unadhani kuwa humu ndani kuna GREAT THINKERS wa kukujibu?

inshort ukiona kimya hakuna mwenye majibu na watu wanaona raha kujadili nani kapata watu wengi kwenye mkutano wa kisiasa....hiyo ndio mentality ya jukwaaa la siasa

sasa kama kweli lete maswali yako yote kuhusu huyu jamaa mimi nitakupa majibu yote....including hizo picha zake ambazo mnaambiwa eti hazipo.
 
Maswali ninayo lakini yatategemea kusoma alichokiandika Zitto na kilichomkaririsha huyu Mabanga...
 
Chezea Moise Katumbi wewe, Muzee ya TP Mazembe na Machimbo ya Katanga.......

Mabilionea wa kikongo ni:-
1.Mohamed Kanyiansi
2.Dikembe Mutombo
3.Mobutu Seseseko kuku wazabanga Jr
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada

maswali yako ni mazuri lakini you are asking at the WRONG platform

wewe unadhani kuwa humu ndani kuna GREAT THINKERS wa kukujibu?

inshort ukiona kimya hakuna mwenye majibu na watu wanaona raha kujadili nani kapata watu wengi kwenye mkutano wa kisiasa....hiyo ndio mentality ya jukwaaa la siasa

sasa kama kweli lete maswali yako yote kuhusu huyu jamaa mimi nitakupa majibu yote....including hizo picha zake ambazo mnaambiwa eti hazipo.

Mtumie mail adress PM mkuu ili sie vichwa maji tujadili ----- wetu hapa kwa raha zetu na nyie great thinkers mkajadili watu na maisha yao huko upenuni!!!!!!
 
Zitto amepigwa fine ya tsh 3000000 na anapaswa kulipa gharama zote za kesi.

Pamoja nakutumia mtandao wake wa zittopress.com kusafiaha hili ni pigo kwa zitto.
 
Zitto yumo humu na hawezi kujibu

mimi nalaumu washauri wake...hivi jimboni kwake anakaa kweli huyu?
 
sitoshangaa kusikia kama hii ilikuwa game imechezwa na FREEMAN MBOWE

tatizo la wengi mna mu underestimate sana FREEMAN lakini inawezekana kabisa Zitto aliingizwa choo cha kike bila kujijua

je hiyo faini kashailipa?
 
Huyu ndio yule bilionea aliyekuwa anakodishiwa private jet na VODACOM kwa ajili ya lile dili la DRC?

Huyu jamaa japo jina lake lina sound kama ni la kizaire lakini ni mtanzania na ndugu zake wako Kigoma...so basically hii ni CIVIL WAR BTN KIGOMA COMPATRIOTS

Angekaa vizuri huyu jamaa angemfinance Zitto vizuri kwani inasemekana jamaa ana worth 1.2 billion usd....
 
Back
Top Bottom