Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,135
Kasema,wakome kama walivyokoma titi la mama Yao,wasimjaribu!yeye hajaribiwi kumbe hujamsikiaKwani Chalamila anasemaje?
Kasema,wakome kama walivyokoma titi la mama Yao,wasimjaribu!yeye hajaribiwi kumbe hujamsikiaKwani Chalamila anasemaje?
NEVER MY SON!
Kuna vita kubwa pale inaendelea Kati ya wenye hisa wachache au wadogo ambao ni wenyeji na mwenye hisa mmoja mkubwa. Anataka wamuuzie wamekataa. Nasikia lakinMoto umeshamaliza kazi yake, umeteketeza majengo ya ghorofa yasiyopungua manne na hasara mbalimbali, pengine vifo na majeruhi pia! Bila kusahau usumbufu mkubwa kwa wapita njia.
Kikosi cha zimamoto kiko chini ya kilometre moja toka eneo la ajali lakini kuna magari ya zimamoto ya makampuni binafsi ndani ya kariakoo na maeneo ya jirani.
Mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wanasema moto ulianzia chini kwenye mirunda iliyoshikilia zege la ghorofa ya kwanza lililokuwa linaendelea kujengwa
Kwakuwa haukuwa mlipuko ina maana moto ulishika kasi na kuenea maeneo mengine kwa kasi inayodhibitika..! Magari ya zimamoto moto yalifika kwa wakati pamoja na kikosi kizima.. Lakini upungufu wa maji ukawa tatizo..mabomba ya maji ya dharura yalikuwa kama mapambo hayakuwa na maji.. Moto ukasambaa kwa raha zake toka jengo moja hadi lingine huku kikosi cha uokoaji kikifanya juhudi za kuuzima bila mafanikio tarajiwa
Minong'ono eneo la tukio ilikuwa mingi.. Wengine wakisema ni hujuma wengine wakisema ni mchongo.. Maana kikosi cha zimamoto kisingeshindwa kuuzima moto kama ule wakati unaanza
Tutarajie kuundwa tume na pengine ripoti ya polisi vitakavyoacha maswali mengi kuliko majibu ama jawabu la mioto isiyoisha!View attachment 2768704View attachment 2768705
Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 2 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
HujumaKuna vita kubwa pale inaendelea Kati ya wenye hisa wachache au wadogo ambao ni wenyeji na mwenye hisa mmoja mkubwa. Anataka wamuuzie wamekataa. Nasikia lakin

Kuna dada mmoja ana duka la top oneView attachment 2769299
Ikiwa ni siku moja baada ya taasisi ya tukio la moto uliozuka eneo la Kariakoo Jijini Dar es salaam ambao chanzo chake bado akijabainishwa na kuwekwa adharani, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kinondoni (RFO), Elisa Mugisha amesema sababu nyingine inayosababisha moto hasa kwenye maeneo ya masoko ni mikopo ambapo amedai kuwa hutokea baada ya mkopaji kushindwa kulipa hivyo uona ni bora awashe moto ili asilipe au asogeze deni mbele.
“Mtu mwingine amekopa ameshindwa kulipa anaona atawaambia vitu vyangu vimeungua japo hili lipo kwa kiwango kidogo na hizi ni takwimu za nchi nzima sababu kama huna Bima utalipa”amesema SSF.Elisa Mugisha,RFO Kinondoni
Aidha Kamanda huyo ameongeza kuwa "Jana moto ulikuwa umezunguka mitaa,mtaa wa Msimbazi kuna moto,mtaa wa Mkunguni kuna moto na mtaa wa Mafia kuna moto, hivyo lita 8000 zimeisha kwa dakika mbili kwa hiyo mtu akikutana na gari inatoka atasema hawa wamekuja tu kuangalia na kuondoka "
Ameyasema hayo wakati akizunguza kwenye kipindi cha Supabreakfast - EATV leo Oktoba 2,2023.
View attachment 2769314
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnadani ndio imetoka iyoKuna dada mmoja ana duka la top one
Hali yake sijui ikoje naye
Ila wale jamaa wa mnadani sijui kama watarudi pale ???
Ova
Wanasema kilikuwa kinahamishwaKuna tetesi kuwa kituo cha mafuta kilichopo Karibu na hayo majengo yaliyoungua kilifungwa siku 3 before janga hilo la moto.Je kuna connection yeyote hapo
Kula rushwa tu mkuuNchi hii
Umeme hatuna
Mafuta tia maji tia maji
Bandari tumeuza
Moto hatuwezi kuzima
Nchi hii ni kipi tunaweza?
Wale hawarudi tena
Mwisho wa enzi...Wale hawarudi tena
Ova

sijui watu wote wale wataenda wapi.. Nchi hii
Umeme hatuna
Mafuta tia maji tia maji
Bandari tumeuza
Moto hatuwezi kuzima
Nchi hii ni kipi tunaweza?
Wale wanaondelewa ki style
KUIBA KURA NA KUHAKIKISHA CHAMA KINASHIKA MADARAKANchi hii
Umeme hatuna
Mafuta tia maji tia maji
Bandari tumeuza
Moto hatuwezi kuzima
Nchi hii ni kipi tunaweza?
Katika nchi isiyoheshimu sheria, uwajibikaji, cha moto tutakiona! Lolote litatokea na hakuna wa kumuuliza mwenzie, maana mfumo haujielewi, haueleweki!Moto umeshamaliza kazi yake, umeteketeza majengo ya ghorofa yasiyopungua manne na hasara mbalimbali, pengine vifo na majeruhi pia! Bila kusahau usumbufu mkubwa kwa wapita njia.
Kikosi cha zimamoto kiko chini ya kilometre moja toka eneo la ajali lakini kuna magari ya zimamoto ya makampuni binafsi ndani ya kariakoo na maeneo ya jirani.
Mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio wanasema moto ulianzia chini kwenye mirunda iliyoshikilia zege la ghorofa ya kwanza lililokuwa linaendelea kujengwa
Kwakuwa haukuwa mlipuko ina maana moto ulishika kasi na kuenea maeneo mengine kwa kasi inayodhibitika..! Magari ya zimamoto moto yalifika kwa wakati pamoja na kikosi kizima.. Lakini upungufu wa maji ukawa tatizo..mabomba ya maji ya dharura yalikuwa kama mapambo hayakuwa na maji.. Moto ukasambaa kwa raha zake toka jengo moja hadi lingine huku kikosi cha uokoaji kikifanya juhudi za kuuzima bila mafanikio tarajiwa
Minong'ono eneo la tukio ilikuwa mingi.. Wengine wakisema ni hujuma wengine wakisema ni mchongo.. Maana kikosi cha zimamoto kisingeshindwa kuuzima moto kama ule wakati unaanza
Tutarajie kuundwa tume na pengine ripoti ya polisi vitakavyoacha maswali mengi kuliko majibu ama jawabu la mioto isiyoisha!View attachment 2768704View attachment 2768705
Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo | Page 2 Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda wa kikosi cha zimamoto keshatoa ripoti ya awali kwamba mioto mingi kwenye masoko ni kutokana na mikopo ya bank! Je hizi tuhuma kuna watu walishapandishwa kizimbani?Katika nchi isiyoheshimu sheria, uwajibikaji, cha moto tutakiona! Lolote litatokea na hakuna wa kumuuliza mwenzie, maana mfumo haujielewi, haueleweki!
Hujuma ndio mchongo.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Maisha mapya uswaziWale jamaa zetu mnadani hawarudi tena hapo
Ova