Moto Kariakoo: Hujuma au mchongo?

Moto Kariakoo: Hujuma au mchongo?

Kwa mbaaali Nimeona picha ya kijani nikajua ni lile jengo la pale Lumumba linaungua dah!

Nilitaka niagize mbili tatu....hapa
Hahahah
FB_IMG_1696167948970.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa inaonekana kaguswa

Ova
View attachment 2769299


Ikiwa ni siku moja baada ya taasisi ya tukio la moto uliozuka eneo la Kariakoo Jijini Dar es salaam ambao chanzo chake bado akijabainishwa na kuwekwa adharani, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kinondoni (RFO), Elisa Mugisha amesema sababu nyingine inayosababisha moto hasa kwenye maeneo ya masoko ni mikopo ambapo amedai kuwa hutokea baada ya mkopaji kushindwa kulipa hivyo uona ni bora awashe moto ili asilipe au asogeze deni mbele.

“Mtu mwingine amekopa ameshindwa kulipa anaona atawaambia vitu vyangu vimeungua japo hili lipo kwa kiwango kidogo na hizi ni takwimu za nchi nzima sababu kama huna Bima utalipa”amesema SSF.Elisa Mugisha,RFO Kinondoni

Aidha Kamanda huyo ameongeza kuwa "Jana moto ulikuwa umezunguka mitaa,mtaa wa Msimbazi kuna moto,mtaa wa Mkunguni kuna moto na mtaa wa Mafia kuna moto, hivyo lita 8000 zimeisha kwa dakika mbili kwa hiyo mtu akikutana na gari inatoka atasema hawa wamekuja tu kuangalia na kuondoka "

Ameyasema hayo wakati akizunguza kwenye kipindi cha Supabreakfast - EATV leo Oktoba 2,2023.

JamiiForums-1975896379.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom