Mota za kuendeshwa na mafuta zinauzwa

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
636
540
Engine motor zilizotumika kidogo zinauzwa.

Ya petrol na diesel. 6.5HP @ 3500 rpm na tank la lita 3.5 zipo Dar. Tsh 250,000 each

Zimetengenezwa na kampuni ya kimarekani Briggs & Stratton. Ni imara. Nilikuwa natumia ktk kutengenezea na kuzungushia mashine tofauti tofauti. Naziuza kwani nimepata nyingine kubwa zaidi kiuwezo kulingana na mahitaji yangu mengine

Kwa mawasiliano 0758 308193.

Attachments

  • IMG_20200212_120544.jpg
    IMG_20200212_120544.jpg
    92.7 KB · Views: 6
  • IMG_20200212_120534.jpg
    IMG_20200212_120534.jpg
    62.7 KB · Views: 4
  • IMG_20200212_120514.jpg
    IMG_20200212_120514.jpg
    112.5 KB · Views: 4
  • IMG_20200212_120509.jpg
    IMG_20200212_120509.jpg
    110.9 KB · Views: 3
Unazo nyingi
Engine motor zilizotumika kidogo zinauzwa.

Ya petrol na diesel. 6.5HP @ 3500 rpm na tank la lita 3.5 zipo Dar. Tsh 250,000 each

Zimetengenezwa na kampuni ya kimarekani Briggs & Stratton. Ni imara. Nilikuwa natumia ktk kutengenezea na kuzungushia mashine tofauti tofauti. Naziuza kwani nimepata nyingine kubwa zaidi kiuwezo kulingana na mahitaji yangu mengine

Kwa mawasiliano 0758 308193.

Unazo nyingi au ndio hiyo hiyo moja,??Being vipi inapungua mpaka kiasi gani??za umeme unazo??
 
Back
Top Bottom