Hehehe, toka lini under 18 akapata mateneti livu?? Una utani na mwanafunzi wa JK au?
Nimegundua kumbe hata hunipendi BAGAH na nakutafuta uthibitishe ugunduzi wangu.
Hahaha!Sijambo dia, unajua kupotea wewe! Mwenzio nimefungua biashara ya kuuza vitumbua basi inani keep vipi busy! Inshort (ni kwamba uje kuniungisha.)
ngoaja ni :shut-mouth::shut-mouth: thats why I :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: you!!Nashangaa wanakuchosha na mawswali ya ivo waambie waniulize mimi niwajibu km umezeeka au bado ebo!
Tehe, bro bana!100th post...dah, hatimaye nimeipata!!
Hahahaha! Under 18 wa kijijini hawezi kutikisa ubongo bana...lol.under 18,!!nyie ndo wenyewe mnatikisa hata ubongo wa mtu...kwan mnafaa...
shem nnavyokupenda...naweza hata kukuhonga DUNIA...walah!...
Hahhah hahaha,Hehehe, nnachokupendea wifi uko shapu sana kumtetea husband wako lol... Safi sana manake kisukari kitampita kando!
Nitonye mzima wa afya, anakusalimu sana!
Sasa unaponikamata na wife unadhani familia yetu itakuwaje??Erickb52 ndo amekamatwa mda huu hapa police central. Bdo anaendlea kuhojiwa ili asaidie mkakat wa kukamata wengne. Dhamana ipo wazi.
Hujambo?ati natafutwa? na nani? for what??
kama ni mtei nitamsehe tuuu, najua matatizo yake huyu kijana,
naomba tuungane kumpa pole...
Tatizo lako una hasira sana kijana...Tayari Smiling Saint ameshawekwa kwenye target. Mda wowote atatiwa mbaroni
Tobaaaa, kumbe kaja kuniombea maembe mabichi? Khaaa ana mambo huyu shemeji ako!Hahhah hahaha,
Umeona eee,wanasema utamu wa mume aujua mke atiiii!!!
Mwambie shem wangu yale maembe mabichi alisema nimwandalie atayapitia akuletee yapo tayari apitie tu!
NATAKA KUMRUDISHA Rejao
Hahahaha! Under 18 wa kijijini hawezi kutikisa ubongo bana...lol.
Nasubiri kuhongwa dunia mie, yaani kuna watu ntawafukuza wahamie sayari ya jupita, subiri unihonge uone!
Hujambo?
Hahhah hahaha,
Umeona eee,wanasema utamu wa mume aujua mke atiiii!!!
Mwambie shem wangu yale maembe mabichi alisema nimwandalie atayapitia akuletee yapo tayari apitie tu!
Hahahaha! Mi loves you Bagah lol, manake wangeunguaje?..hivi JUA ni sayari eeh?...ningekwambia uwatupie huko!...
kumbe 18 wa mjini ndo noma sio...?ngoja kale katoto kangu ka mazinde juu nikapotezee...
Thx Darling,ngoaja ni :shut-mouth::shut-mouth: thats why I :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: you!!
Nipo, msalimie Erickb52..sijambo... upo?