Most sexy ladies

Most sexy ladies

Uzuri upo machoni mwa mtu,kwangu kale kadada alicia keys kanautendea haki mtima wangu,basi tu
🙂

Umechelewa Swizz beats kakuwahi na mbaya zaidi Alicia kaingilia uhusiano wa watu kampiku mama watoto wa Swizz
 
Viol mkuu niwekee HALLE BERRY nisuuzike maana ndio ninaemkubali kwa upande wangu
haya bhana HARUFU naona mi na wewe kidogo tunapenda aina ya figure flani

1313418763_halle-berry-bikini-290.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kuna bar maid mmoja hapa kiwanja mkali kuliko hao wote. Wenyewe na magari yao ya maana wanajazana hapo kwa ajili yake wote wanataka namba yake.
Kuna watoto nyie acheni tu but wadhungu wanamsemo" the beautiful one is not yet born"
 
duh isije ikawa mmoja kule mitaa ya posta.
 
Mwake hapo umeona e....

Ngoja nikupe LIKE yako kwa kazi kubwa uliyoifanya
aisee mi namkubali sana Ciara jwa figure ila huyu ndo mwingine namkubali
ila huyo wako naye nimepiga saluti sema nilikuwa simfaham kivile kwa jina ila sura nilikuwa nampata,ni noma
 
Pamoja mkuu, CIARA chombo halafu JENIFER LOPEZ nae chini mambo yake sio mabaya kama una muda embu weka JLO hapo tuburudike usishangae kwanini mtu mzima DIDDY alichanganyikiwa
 
Viol mkuu upewe nini sasa

Last edited by a moderator:
aisee mi namkubali sana Ciara jwa figure ila huyu ndo mwingine namkubali
ila huyo wako naye nimepiga saluti sema nilikuwa simfaham kivile kwa jina ila sura nilikuwa nampata,ni noma

Ciara-Bikini-Body-Malibu-Video-Shoot.jpg
 
Back
Top Bottom