Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,460
Mfa maji haachi kutapatapa, how come most of the old, modern inventions and manufacturing of technological equipments originates from the Europeans and not Arabs??!
Jamaa anajifili inferior ....hakukuwa na haja ya kuanzisha uzi wenye mlengo wa kidini thats stupidwamejitahidi Hao magwiji japo sijaelewa mzizi na Mantiki ya Uzi.
Anatafuta kiki ya kutambuliwa dini yake. Uislam wao umechangiaje kugundua walichogundua?? Mtu weak hujitutumua ili naye aonekane yumo...Ni ukweli usio shaka
wamejitahidi Hao magwiji japo sijaelewa mzizi na Mantiki ya Uzi.