ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
- Thread starter
- #41
Sawa dr.shikaJanuary napeleka mwanangu Atlass hapo ,akirudi uswazi anaonekana wakishua
Sawa dr.shikaJanuary napeleka mwanangu Atlass hapo ,akirudi uswazi anaonekana wakishua
Mkuu,atlas iko ubungo,ada haizidi milioni,naona umeshtuka kijana wa ccmSawa dr.shika
Implication ya hiyo kitu ni kuwa hata walioendelea wanajua kuwa hizo regions ndo zenye watu wenye dough na sana sana Arusha.. Dough ipo kwa wengi japo life iko juu na ni tourist regions kuna attractions kibao na weather pia ni nzuriMost of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
kwa mwaka mkuu!yaani vyuma huwa havikazibkotekote kuna watu wana ukwasi toto kamasi unalishape akili kwa 60m kwa mwaka halafu lirudi na kimimba nachoma shuleHiyo kwa mwaka au mpka akimaliza elimu yake
Mkuu unanikumbusha mbali sana mambo flan ya research. Unasubmit title kwa mfano halafu unaulizwa findings. Sasa unajifanya huzijui ili study iwe significant. Anauliza wenzako wanatoa findings zote halafu ynaulizwa ss wewe unaenda tafuta nini na majibu yapo hahahaaaaWhy should he research? You have the finding! Just tell us the min and max cost for ISAMILO and we will know where to rank it.
Fees Itakua ishafika 100 millionNdio,na atazaliwa baada ya miaka 10 so ntakua nishajipanga vizuri ki uchumi,mkuu
zipo ngapi?Naona Shule nyingi za Kimataifa Zipo Arusha..
Arusha ni level ya Kimataifa..
ARUSHA ni International CityMost of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
Angali post ya juu nimezirodheshazipo ngapi?
You are right!Wageni wengi wa kimataifa na ofisi nyingi za kimataifa zipo Arusha na Dar nafikiri hivyo.
Ile Shule ni kama ImekufaSavanah high school haimo..?
Hii ina hadi wanyama pori humo (hifadhi)
Ipo shinyanga
Ile Shule ni kama Imekufa
Soma kwa makini utajua ni nini... Usikariri tu kuwa "most" ni superative adj!!! Mbona maelezo yanajitosheleza..... Kuna shule ni most expensive kiwilaya pia kuna shule ni most expnsv kimkoa pia kuna shule ni exnsv ktfaSo, which is the most expensive? Maana naona zote unaanza kwa "is the most expensive"